Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Mshauri wa Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi, Willy Nyamitwe amesema kuwa, hadi sasa bado serikali ya nchi hiyo haijapata mwaliko wa kuhudhuria mazungumzo ya kisiasa yaliyoitishwa na rais mstaafu wa Tanzania …
Mataifa 11 ya Kiafrika yamekubaliana kuweka viwango sawa vya matumizi ya simu ili kuwarahisishia raia wa mataifa hayo. Taarifa iliyotolewa na nchi hiyo, imesema kuwa, mataifa hayo yamefanikiwa kupata mafanikio …
Wanasheria mbalimbali visiwani Zanzibar wamepinga matamshi ya hivi karibuni ya Jecha Salim Jecha, Mkuu wa Tume ya Uchaguzi visiwani humo ZEC aliyezungumzia hatua walizofikia katika zoezi linalolalamikiwa na wengi la …
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini Kenya IEBC leo Jumatatu imezindua mpango wa kuwasajili wapiga kura kutoka kile kona ya nchi kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka ujao wa 2017. …
Rais Yoweri Museveni wa Uganda amewatoa hofu wananchi wa nchi hiyo akisema hakuna fujo zitakazotokea wakati au baada ya uchaguzi kama inavyodaiwa na baadhi ya wanasiasa. Kauli ya Museveni ni …
Wakati Tume ya Uchaguzi visiwani Zanzibar (ZEC) ikiendelea na maandalizi ya uchaguzi wa marudio visiwani humo utakaofanyika  hapo Machi 20 mwaka huu, chama cha wananchi CUF kimetoa tamko zito hapo …
Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC imetangaza Machi 20 kuwa tarehe ya marudio ya uchaguzi visiwani humo baada ya matokeo ya uchaguzi uliopita kufutwa. Mwenyekiti wa ZEC, Jecha Salim Jecha, amesema …
Huku Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ya ICC ikiendelea kusikiliza ombi la Naibu wa Rais wa Kenya, William Ruto na mwandishi wa habari Joshua Sang la kutaka kesi dhidi yao …
Mgogoro wa Burundi umeendelea kutokota licha ya jamii ya kimataifa kushinikiza pande hasimu nchini humo kutanzua tofauti baina yao kwa njia za amani. Hayo yamekuja baada ya serikali ya Burundi …
Wawakilishi wa wawasi pamoja na wa serikali ya Burundi wamekutana mjini Entebbe, karibu na Kampaka, mji mkuu wa Uganda chini ya upatanisi wa Rais Yoweri Museveni wa nchi hiyo anayewakilisha …
Rais Paul Kagame wa Rwanda amesema atatoa msimamo wake kuhusu kubakia au kutobakia madarakani baada ya kura ya maamuzi ambayo itafanyika baadaye mwezi huu. Bunge la Rwanda limepitisha marekebisho ya …
Waangalizi wa kimataifa wa uchaguzi  nchini Tanzania, wametoa tamko lao kuhusiana na mwenendo wa uchaguzi na zoezi zima la kampeni lilivyokwenda, wakisema kuwa, vyombo vya habari vilitoa upendeleo mkubwa kwa …
Jumapili ijayo ya tarehe 25 Oktoba Watanzania waliotimiza masharti ya kupiga kura watashiriki katika uchaguzi mkuu, uchaguzi ambao unatajwa kuwa wa kihistoria na utakaokuwa na ushindani wa aina yake. Zikiwa …
Kampeni za uchaguzi mkuu nchini Tanzania zimeendelea kupamba moto ikiwa zimesalia siku chache kabla ya kufanyika kwa uchaguzi huo hapo tarehe 25 mwezi huu. Katika kampeni hizo wagombea urais wa …
Nchini Tanzania chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA, kimepinga kauli iliyotolewa hivi karibuni na Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete wa nchi hiyo ya …
Matokeo ya utafiti uliofanywa na taasisi ya uchunguzi wa maoni ‘Twaweza’ kuhusiana na uchaguzi mkuu nchini Tanzania, yameendelea kuwashtua wengi baada ya matokeo hayo kwenda kinyume na vuguvugu la kisiasa. …
Baada ya aliyekuwa katibu mkuu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Dk Willibrod Slaa kujitosa hadharani na kutangaza kustaafu katika ulingo wa kisiasa, na wakati huo huo kutoa tuhuma …
Serikali ya Kenya imepata pigo baada ya Mahakama ya Juu nchini humo kuitaka iwape walimu nyongeza ya mshahara ya hadi asilimia 60 kufikia mwishoni mwa mwezi huu wa Agosti. Awali, …
Rais wa zamani wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, François Bozizé amerejea nchini humo kwa siri, ili kuweza kushiriki katika uchaguzi mkuu ujao kama mgombea urais. Bozizé amerejea nchini humo, …
Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi amewataka raia wa nchi hiyo kuwa na subira kwa kutolipiza kisasi cha kuuawa Jenerali Adolphe Nshimirimana katika shambulio la Roketi asubuhi ya Jumapili hii eneo …
Page 1 of 8