Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Nchini Kenya vitendo vya mauaji dhidi ya shakhsia wa kidini vilivyokithiri ndani ya taifa hilo, huenda vikapata dawa yake baada ya mahakama kuu kuanza kutoa hukumu kali kwa wahusika. Hatua …
Wito wa umoja, mshikamano na kuwa na misimamo ya wastani miongoni mwa Waislamu umetolewa mwishoni mwa Kongamano la Kiislamu lililofanyika katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi. Waislamu zaidi ya elfu …
Mashirika ya kutetea haki za binaadamu nchini Kenye yamelaani na kutangaza kutoridhishwa na hukumu iliyotolewa dhidi ya askari wawili waliohusika na mauaji ya mtoto mmoja nchini humo. Kwa mujibu wa …
Na baada ya kuuawa mtuhumiwa wa ugaidi Muhammad Mugemagango, aliyekuwa akiwapatia mafunzo ya ugaidi vijana wa Rwanda kwa lengo la kuwatuma nchini Syria kwenda kujiunga na makundi mengine ya kigaidi …
Jumatatu, 18 Januari 2016 13:34

Rais Uhuru Kenyatta atakiwa kudhibiti matapeli

Rais Uhuru Kenyatta amekokoteza kuwekwa sheria kali kwa viongozi wa kidini wanaoendelea kunyanyasa na kutapeli waumini wao, huku pingamizi kutoka kwa wanasheria na viongozi wa kidini likiendelea kushamiri likiitaka serikali …
Waislamu nchini Uganda wametakiwa kutojiingiza katika sherehe zisizokuwa za dini yao licha ya kwamba ni wajibu kuwaheshimu wafuasi wa dini nyinginezo katika sherehe na ibada zao. Mwito huo umetolewa na …
Mauaji ya wiki iliyopita yaliyofanywa na jeshi la Nigeria dhidi ya Waislamu katika mji wa Zaria yameendelea kulaaniwa karibu katika kila kona ya ulimwengu. Viongozi na shakhsia mbambali wa kidini …
Wimbi la maandamano ya kulaani jeshi la Nigeria kwa kuuwa mamia ya Waislamu na kumkamata kiongozi wa kidini nchini humo Sheikh Ibrahim Zakzaky linaendelea kushuhudiwa katika kona mbali mbali ya …
Huku mamilioni ya wafanya ziara wakiendelea kuwasili Karbala, Iraq kwa ajili ya kuhuisha kumbukumbu za Arobaini ya Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (as), Mjukuu wa Bwana Mtume Muhammad …
Kibla ya Kwanza cha Waislamu yaani msikiti mtakatifu wa al Aqsa (Masjidul Aqswa) kiko hatarini hivi sasa kutokana na jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel. Tumezungumza na Ustadh Ahmad …
Utawala wa Kizayuni wa Israel umeendeleza ukatili na jinai zake dhidi raia madhlumu wa Palestina sasa wameamua kuanzisha awamu mpya ya Intifadha au mwamko kwa ajili ya kupigania ukombozi wa …
Waislamu wa mkoani pwani nchini Kenya, wameitaka serikali ya kuratibu upya sheria za kukabiliana na ugaidi huku wakihisi kwamba, jeshi la nchi hiyo limekuwa likitumia suala hilo kuwanyanyasa. Hayo yamejiri …
Katika juhudi za kuwahamasisha akina mama na kuwakumbusha jukumu lao la malezi bora kwa watoto wao na kuwaepusha kujiunga na makundi ya kigaidi na kitakfiri, makundi ya wanawake wa Kiislamu …
Waislamu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati wanapitia wakati mgumu, baada ya magaidi wa Kikristo wa Anti-Balaka kuanzisha wimbi jipya la mashambulizi dhidi ya jamii ya Waislamu katikati mwa nchi …
Huenda viongozi kadhaa wa kisiasa wa kaunti ya mombasa nchini Kenya wakatiwa mbaroni ili kuhojiwa kufuatia kile kinachodaiwa na idara ya usalama ya nchi hiyo kuwa ni Uchochezi wa jamii. …
Jumatano, 01 Julai 2015 17:08

Mashindano ya Qur'ani Tukufu nchini Uganda

Mashindano ya Qur'ani Tukufu yamefanyika tena nchini Uganda katika mwezi mtukufu wa Ramadhani kama ilivyokuwa mwaka jana. Mashindano hayo yanadhaminiwa na kusimamiwa na ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran …
Serikali ya Kenya imeondoa agizo la kutotoka nje nyakati za usiku katika mwezi huu wa Ramadhani katika kaunti nne za eneo la Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo. Hii ni katika …
Mufti Mkuu wa Tanzania,  Sheikh Issa Bin Shaaban Simba,  amefariki dunia jana alfajiri katika hospitali ya TMJ ya jijini Dar es Salaam nchini humo alipokwenda kwa ajili ya matibabu ya …
Kongamano la 11 la Kimataifa la Itikadi ya Imam Mahdi AS limemalizika Jumatatu hapa mjini Tehran na kushirikisha pamoja shakhsia mbalimbali wa ndani na nje ya Iran Shakhsia mbalimbali wameshiriki …
Eneo la maegesho ya feri kusini mwa mkoa wa pwani nchini Kenya, lametajwa kama eneo baya zaidi kwa ukandamizaji wa haki za wanawake. Hayo yamejiri baada ya kubainika kuwa, wanawake …
Page 1 of 6