Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumanne, 26 Aprili 2016 21:51

Serikali ya Bujumbura: Benjamin Mkapa hajatualika kuhudhuria mazungumzo ya Arusha, Tanzania

Serikali ya Bujumbura: Benjamin Mkapa hajatualika kuhudhuria mazungumzo ya Arusha, Tanzania

Mshauri wa Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi, Willy Nyamitwe amesema kuwa, hadi sasa bado serikali ya nchi hiyo haijapata mwaliko wa kuhudhuria mazungumzo ya kisiasa yaliyoitishwa na rais mstaafu wa Tanzania Benjamin William Mkapa hapo tarehe Pili hadi sita mjini Arusha kaskazini mwa nchi hiyo ya Tanzania. Hayo yanajiri katika hali ambayo mauaji ya kuvizia nchini Burundi yameendelea kushuhudiwa dhidi ya viongozi wa ngazi za juu serikalini.

Tujiunge na mwandishi wetu wa jijini Bujumbura Hamida Issa kwa taarifa kamili…………………/

Sauti na Video

Andika maoni


Msimbo salama (Security code)
Upyesha (Refresh)