Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumatano, 20 Aprili 2016 21:49

Mataifa 11 ya Kiafrika yamekubaliana kuweka viwango sawa vya simu ili kurahisisha mawasiliano (Sauti)

Mataifa 11 ya Kiafrika yamekubaliana kuweka viwango sawa vya simu ili kurahisisha mawasiliano (Sauti)

Mataifa 11 ya Kiafrika yamekubaliana kuweka viwango sawa vya matumizi ya simu ili kuwarahisishia raia wa mataifa hayo. Taarifa iliyotolewa na nchi hiyo, imesema kuwa, mataifa hayo yamefanikiwa kupata mafanikio makubwa punde tu baada ya kuanzishwa mfumo huo ndani ya mataifa ya Kenya, Rwanda, Uganda na Sudan Kusini.

Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylivanus Karemera anaripoti zaidi……………………/

Sauti na Video

Andika maoni


Msimbo salama (Security code)
Upyesha (Refresh)