Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Ijumaa, 15 Aprili 2016 21:09

Aliyemuua Sheikh Muhammad Idriss, Mkuu wa Baraza la CIPK nchini Kenya ahukumiwa kifungo cha maisha jela

Aliyemuua Sheikh Muhammad Idriss, Mkuu wa Baraza la CIPK nchini Kenya ahukumiwa kifungo cha maisha jela

Nchini Kenya vitendo vya mauaji dhidi ya shakhsia wa kidini vilivyokithiri ndani ya taifa hilo, huenda vikapata dawa yake baada ya mahakama kuu kuanza kutoa hukumu kali kwa wahusika. Hatua hiyo imekuja baada ya jaji wa mahakama kuu nchini Kenya kutoa hukumu ya adhabu ya kifungo cha maisha jela kwa mmoja wa washukiwa wa mauwaji ya Sheikh Muhammad Idriss aliyekuwa Mkuu wa Baraza la Maimamu na Wahubiri nchini Kenya CIPK. 

Tujiunge na mwandishi wetu wa mjini Mombasa, Seifullah Murtadha kwa taarifa kamili……………/

Sauti na Video

Andika maoni


Msimbo salama (Security code)
Upyesha (Refresh)