Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Alkhamisi, 07 Aprili 2016 21:38

EAC yaishutumu Tanzania kuwa ndio inayokwamisha maendeleo ya jumuiya hiyo kutokana na woga (Sauti)

EAC yaishutumu Tanzania kuwa ndio inayokwamisha maendeleo ya jumuiya hiyo kutokana na woga (Sauti)

Serikali ya Tanzania imeshutumiwa kwa kuulemaza umoja wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC katika kuyafikia malengo tarajiwa. Hayo yamesemwa na wabunge wa jumuiya hiyo ambapo pamoja na mambo mengine wameitaja Tanzania kuwa inakhofia kuingia katika ushindani wan chi wanachama katika jumuiya hiyo ya Afrika Mashariki.

Tujiunge na mwandishi wetu wa mjini Mombasa Seifullah Murtadha kwa taarifa zaidi………

bonyeza hapa chini kusikia sauti.........../ 

Sauti na Video

Andika maoni


Msimbo salama (Security code)
Upyesha (Refresh)