Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumanne, 29 Machi 2016 21:40

Mahojiano na Sh. Yusuf Abdu wa Mombasa kuhusu Kongamano la Kiisalamu la 'Journey of Faith' Nairobi, Kenya

Mahojiano na Sh. Yusuf Abdu wa Mombasa kuhusu Kongamano la Kiisalamu la 'Journey of Faith' Nairobi, Kenya

Wito wa umoja, mshikamano na kuwa na misimamo ya wastani miongoni mwa Waislamu umetolewa mwishoni mwa Kongamano la Kiislamu lililofanyika katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi. Waislamu zaidi ya elfu 6 aghalabu yao wakiwa vijana walihudhuria duru ya tatu ya kongamano hilo la kila mwaka linalojukana kama ‘Journey of Faith’ lililofanyika katika Jumba la KICC na kumaliza shughuli zake Jumatatu ya jana ya Machi 28. Mbali na viongozi wa kidini, kisiasa na kijamii wa Kenya, wanazuoni na wanafikra kutoka nchi mbali mbali duniani ikiwemo Canada, Uingereza na Marekani wamewasilisha mada tofauti katika kongamano hilo. Tumezungumza na Sheikh Yusuf Abdu, msomi wa Kiislamu, mwanaharakati na mshairi kutoka Mombasa, ambaye ni mmoja wa wanazuoni waliyohutubia kongamano hilo.....

 

 

Sauti na Video

Andika maoni


Msimbo salama (Security code)
Upyesha (Refresh)