Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumatano, 24 Februari 2016 13:55

Ziara ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Burundi

Ziara ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Burundi

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa aliwasili nchini Burundi wiki hii katika juhudi za kuutafutia suluhisho mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo. Jumanne alikutana kukutana na kufanya mazungumzo na Rais Pierre Nkurunziza na viongozi wengine wa kisiasa nchini humo. Kadhalika alifanya mazungumzo na asasi za kijamii na mashirika ya kutetea haki za binadamu.

Mwandishi wetu wa Bujumbura, Hamida Issa na ripoti ifuatayo...

 

 

Sauti na Video

Andika maoni


Msimbo salama (Security code)
Upyesha (Refresh)