Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumatano, 24 Februari 2016 13:43

Rwanda yataka wakimbizi wa Burundi waondoke

Rwanda yataka wakimbizi wa Burundi waondoke

Rwanda imesema ni lazima wakimbizi wa Burundi walioko kwenye nchi hiyo wahamishiwe kwenye nchi ya tatu. Rwanda inasema inafanya hivyo kuepuka kuendelea kuchafuliwa jina lake kutokana na kile inachokitaja kama propaganda za serikali ya Burundi kulifanya suala la wakimbizi kama la kisiasa. Burundi imekuwa ikilaumu Rwanda kuwapa silaha na mafunzo wakimbizi wa Burundi suala ambalo Rwanda imekuwa ikilikanusha.
Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylivanus Karemera anaripoti zaidi.

 

Sauti na Video

Andika maoni


Msimbo salama (Security code)
Upyesha (Refresh)