Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumatatu, 22 Februari 2016 14:07

Fedha bandia zaharibu uchumi Tanzania

Fedha bandia zaharibu uchumi Tanzania

Kuwepo uingizwaji wa fedha bandia katika mzunguko wa matumizi ya fedha nchini Tanzania kunatajwa kuwa ni kikwazo katika ustawi wa uchumi wa nchi hiyo ambayo inapambana kupiga hatua zaidi za kiuchumi na kukuza thamani ya fedha yake ambapo kuingizwa fedha bandia nchini humo hasa maeneo ya mijini kunaendelea kushamiri. Katika kudhibiti hali hiyo watanzania wamezitaka mamlaka za kifedha na kiusalama nchini humo kuhakikisha zinakomesha uingizwaji wa fedha hizo.


Taarifa zaidi na mwandishi wetu Omar Manji wa Dar es Salaam.

Sauti na Video

Andika maoni


Msimbo salama (Security code)
Upyesha (Refresh)