Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumamosi, 23 Januari 2016 10:50

Wajumbe wa UN wamaliza ziara yao Burundi

Wajumbe wa UN wamaliza ziara yao Burundi

Wajumbe 33 wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wakiwemo mabalozi 15 wa baraza hilo jana walimaliza ziara yao ya siku mbili nchini Burundi iliyokuwa na dhamira ya kuushawishi utawala wa Rais Nkurunziza ukubali mazungumzo ya kisiasa na kutumwa kikosi cha kulinda amani nchini humo.

Mwandishi wa Radio Tehran mjini Burujumbura ametutayarishia ripoti ifuatayo

Sauti na Video

Andika maoni


Msimbo salama (Security code)
Upyesha (Refresh)