Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumapili, 27 Disemba 2015 18:38

Viongozi wa Afrika watakiwa kuupa umuhimu mkubwa mgogoro wa Burundi

Viongozi wa Afrika watakiwa kuupa umuhimu mkubwa mgogoro wa Burundi

Wakati hali ya kisiasa nchini Burundi ikiendelea kuwa tete, Viongozi wa Kiafrika wametakiwa kuacha kurudi nyuma badala yake wawe mstari wa mbele katika utatuzi wa mgogoro wa Burundi unaoendelea na kuacha kusubiri hali ya mambo nchini humo kuwa mbaya zaidi ya ilivyo sasa.

Mwandishi wetu wa Dar es Salaam Omar Manji na ripoti ifuatayo.

Sauti na Video

Andika maoni


Msimbo salama (Security code)
Upyesha (Refresh)