Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumatatu, 24 Agosti 2015 21:43

Uchaguzi wa viongozi wa mitaa wafanyika Burundi Jumatatu hii, huku ukisusiwa

Uchaguzi wa viongozi wa mitaa wafanyika Burundi Jumatatu hii, huku ukisusiwa

Uchaguzi wa viongozi wa mitaa nchini Burundi umefanyika Jumatatu hii, huku ukishuhudia ushiriki duni. Viongozi serikalini wameutaja uchaguzi huo kuwa muhimu kwa nchi hiyo huku wakiwataka wananchi kuwapigia kura viongozi wanaowaona kuwa wanaoweza kutatua matatizo yao. Hayo yanajiri katika hali ambayo zaidi ya vijana 200 wametiwa mbaroni leo hii, kwa tuhuma kwamba walikuwa wakipanga kujiunga na makundi ya uasi dhidi ya serikali ya Bujumbura.

Tujiunge na mwandishi wetu wa jijini Bujumbura Hamida Issa kwa taarifa zaidi……bonyeza chini kupata sauti…./

Sauti na Video

Andika maoni


Msimbo salama (Security code)
Upyesha (Refresh)