Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumatatu, 27 Julai 2015 21:32

Waasi nchini CAR wawawinda viongozi wa serikali na kuwakamata

Waasi nchini CAR wawawinda viongozi wa serikali na kuwakamata

Uchaguzi mkuu nchini Jamhuri ya frika ya Kati huwenda ukakumbwa na matatizo, kutokana na shughuli ya uandikishaji majina ya wapiga kura, kukumbwa na vizuizi kadhaa. Hatua hiyo imekuja kufuatia watu wa mikoa kadhaa kususia zoezi la uandikishaji huo, wakiilaumu serikali kuu kwa kutosikiliza matakwa yao. Mbali na hayo makundi ya waasi yameanzisha wimbi la vitendo vya utekaji nyara wa viongozi wa serikali kama njia ya kuishinikiza serikali hiyo kutii matakwa yao.

Tujiunge na mwandishi wetu wa eneo la Afrika ya Kati Mosi Mwasi kwa taarifa kamili……Bonyeza hapa………………/

Sauti na Video

Andika maoni


Msimbo salama (Security code)
Upyesha (Refresh)