Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kwamba, katika maandamano ya Bahman 22 (Februari 11) ya siku zinapofikia kileleni sherehe za ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu, taifa la Iran litaonesha …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei, amesema mafanikio makubwa yaliyopatikana katika teknolojia ya Nano na Bioteknolojia ni mfano na kipimo cha maendeleo katika sekta mbalimbali …
Jumatano, 28 Januari 2015 18:13

Kiongozi azuru Haram ya Imam Khomeini MA

Zikiwa zimekaribia siku za Mwenyezi Mungu za Alfajiri Kumi za maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran yanayoanza siku aliporejea kishujaa nchini Iran, Imam Khomeini (MA), Ayatullahil Udhma …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu  amesema: "Istikama ya kimaanawi ya wanamichezo bingwa wa Iran ni maarufu katika uga wa kimataifa na hicho ni kiashirio cha kuwepo imara istikama na …
Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, uamuzi thabiti na usio na shaka wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kuongeza ushirikiano wake wa …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema kuwa, uamuzi thabiti na usio na shaka wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kuendeleza na kuongeza ushirikiano …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, umoja ni somo kubwa kutoka kwa Mtume wa Mwisho SAW na kwamba hivi sasa ni hitajio la dharura la umma wa Kiislamu. Ayatullahil …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inapaswa kuwa na aina ya kinga au chanjo ili kukabiliana na vikwazo inavyowekewa …
Amirijeshi Mkuu wa vikosi vyote vya ulinzi vya Iran amesisitiza kuwa, moyo wa muqawama na kusimama kidete ndiyo iliyoviletea heshima vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Ayatullahil …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullahil-Udhmaa Sayyid Ali Khamenei, amesema kuwa njama za Marekani na nchi za kikoloni za kujaribu kuipigisha magoti Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusiana na …
Jumamosi, 08 Novemba 2014 19:06

Dakta Sarafraz ateuliwa kuwa mkuu mpya wa IRIB

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amemteua Dakta Muhammad Sarafraz kuwa Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) kwa kipindi cha miaka mitano. Ayatullahil Udhma …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei, amesema kuwa, ibada ya hija ni fursa bora kabisa kwa ajili ya kukabiliana na njama za kuitenganisha Jamhuri ya …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Iran inapaswa kuendeshwa kwa kutegemea utajiri wa juu ya ardhi yaani ustadi na vipaji vya vijana na wataalamu bingwa Wairani. Ayatullahil Udhma Sayyid …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil  Udhma Sayyid Ali Khamenei ametuma salamu za rambi rambi kufuatia kuaga dunia Ayatullah Mohammad-Reza Mahdavi Kani, Mkuu wa Baraza la Wanazuoni Wataalamu Wanaomchagua …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa ushindi wa Ghaza wa mapambano katika vita vya siku 50 na matamshi ya kushindwa utawala wa Kizayuni mbele ya raia waliozingirwa ni …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullahil-Udhmaa Sayyid Ali Khamenei amesema kuwa, hatua yoyote inayochochea chuki na tofauti baina ya Suni na Shia, inaisaidia Marekani, Uingereza na utawala haramu wa …
Bismillahir Rahmanir Rahim   Hamdu zote zinamstahikia Allah, Mola Mlezi wa viumbe wote na rehema na amani ziwe juu ya Muhammad na Aali zake watoharifu.Salamu na pongezi zangu zinazotokana na …
Ijumaa, 03 Oktoba 2014 12:42

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu kwa Mahujaji

Katika ujumbe wake wa Hija kwa Mahujaji wa Nyumba ya Mwenyezi Mungu, Ayatullahil Udhma Ali Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa uzingatiaji wa masuala ya …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil-Udhmaa Sayyid Ali Khamenei amesema kuwa, kujihami kutakatifu, ni alama ya majmui ya adhama na madhihirisho ya jamali na utukufu wa taifa la Iran. …
Jumatano, 24 Septemba 2014 18:57

Kiongozi Muadhamu aonana na makamanda wa jeshi

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, uzoefu wa miaka minane ya vita vya kujihami kutakatifu umethibitisha kwamba licha ya kuwepo mashinikizo makubwa na uhaba wa fedha na matatizo …