Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema misimamo ya nyuklia ya Iran ni ile ile iliyotangazwa mara kadhaa hadharani. Ayatullah Khamenei ametoa sisitizo hilo leo …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, tiba ya matatizo ya leo yaliyoko katika ulimwengu wa Kiislamu ni kusalimu amri mbele ya maamrisho ya Qur’ani Tukufu na kutosalimu amri …
Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, leo ameonana na washiriki Mashindano ya 32 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu yaliyofanyika hapa Tehran na kuchuanisha washiriki 120 …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, Iran kamwe haitoruhusu kukaguliwa vituo vyake vya kijeshi.Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema hayo asubuhi ya leo (Jumatano) katika sherehe za kuhitimu …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ubeberu kinara wake akiwa Marekani ndio chanzo kikuu cha kutokea ujahili wa kisasa. Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema hayo …
Jumatano, 13 Mei 2015 21:18

Kiongozi Muadhamu aonana na Rais wa Iraq

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu leo ameonana na Rais wa Iraq na kusisitiza kuwa, nchi hiyo ni yenye taathira katika masuala ya eneo la Mashariki ya Kati kutokana na …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria vitisho vya hivi karibuni vya maafisa rasmi wa Marekani sambamba na mazungumzo ya nyuklia yanayoendelea kati ya Iran na kundi la 5+1 na …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, kutiliwa umuhimu uzalishaji wa ndani ndiyo njia pekee ya kutatua matatizo ya nchi na kufanikisha uchumi wa kusimama kidete. Ayatullahil Udhma Khamenei …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, jeshi la polisi ni dhihirisho la nguvu za utawala na usalama za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema …
Kiongozi Muadhamu wa mapinduzi ya Kiislamu amesema Iran inatambua usalama na maendeleo ya jirani yake, Afghanistan, kuwa ni usalama na maendeleo yake. Ayatullah Ali Khamenei  aliyasema hayo alasiri ya jana …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kamwe haijawahi kuwa tishio kwa usalama wa eneo la Mashariki ya Kati na nchi majirani zake na …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei ametoa msamaha na punguzo la adhabu kwa iddai kadhaa ya wafungwa wanawake kwa mnasaba wa maadhimisho ya kuzaliwa Bibi …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, amesema kuwa hajachukua hatua yoyote kuhusiana na maelewano ya mazungumzo ya nyuklia kati ya taifa hili na kundi la 5+1 kwa kuwa …
Mamilioni ya Waislamu katika maeneo mbalimbali duniani leo wameshiriki katika vikao na majlisi za maombolezo ya kukumbuka tukio chungu la kufa shahidi binti kipenzi wa Mtume wetu Muhammad (saw) Bibi …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, kuondolewa vikwazo ni sehemu ya mazungumzo ya nyuklia ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kundi la 5+1. Ayatullahil Udhma Sayyid Ali …
Jumamosi, 21 Machi 2015 09:12

Kiongozi Muadhamu atoa salamu za mwaka mpya

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa salamu za mwaka mpya wa 1394 wa Hijiria Shamsia na kuutaja kuwa mwaka wa 'Serikali na Wananchi Wenye Kushirikiana na Kauli Moja'. Akiashiria …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amemtumia salamu za rambi rambi Rais Hassan Rouhani kufuatia mama yake mzazi kuaga dunia akiwa na umri wa miaka …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kulindwa mazingira ni wajibu wa kiutawala na kwamba kuna udharura wa kuandaliwa hati ya kitaifa ya mazingira na kuiambatanisha na …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa: “Taifa la Iran daima limeonesha kuwa lina irada imara na lina uwezo na kuvunja njama za adui.” Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, mafundisho ya dini tukufu ya Kiislamu yanatuamrisha kuamiliana vyema, kwa insafu na uadilifu na wafuasi wa dini nyinginezo za mbinguni. Ayatullahil Udhma …