Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema kuna ulazima kwa viongozi wa Iran na Austria kuwa na mipango na ufatiliaji kwa ajili ya kuimarisha zaidi …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitizia ulazima wa kuweko mazalisho ya Kiislamu yenye umakini na mvuto kwa ajili ya kutumwa kwenye mitandao ya Intaneti. Ayatullahil Udhma Khamenei amesema hayo …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema kuwa, kupinga madola ya kibeberu duniani ni msingi wa Kiislamu. Kiongozi Muadhamu ametoa kauli hiyo Jumamosi jioni hapa …
Amiri Jeshi wa vikosi vyote vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesisitiza juu ya ulazima wa kuongeza kiwango cha utayarifu wa kituo cha …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza juu ya udarura wa wananchi na viongozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa macho mbele ya njama za maadui. Ayatullahil Udhma Sayyid …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa ibada ya Hija ni dhamana ya kuendelea kuwepo Uislamu na dhihirisho la umoja na adhama ya Umma wa Kiislamu.Ayatullahil Udhma Ali Khamenei …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amekutana na wanafunzi wa vyo vikuu  nya Iran ambao wamepata medali katika mashindano ya olimpiadi za kisayansi katika uga …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, umoja na mshikamano ni tiba ya matatizo ya ulimwengu wa Kiislamu. Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema hayo leo mbele ya hadhara …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, Ayatullahil-Udhma Sayyid Ali Khamenei, amesema kuwa, mikono michafu ya viongozi waovu, iliifanya kuwa chungu Ramadhani ya mwaka huu ya watu wa eneo …
Alkhamisi, 16 Julai 2015 09:50

Kiongozi: Kufikiwa mapatano ni hatua muhimu

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kufikiwa muafaka katika mazungumzo ya nyuklia ni hatua muhimu na yenye thamani kwa taifa la Iran. Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amepongeza na kushukuru juhudi, mapambano ya dhati na umakini wa timu ya mazungumzo ya nyuklia ya Iran.  Akizungumza hapo jana alasiri mbele ya Rais …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa sababu kuu ya uadui wa madola ya kibeberu dhidi ya taifa la Iran ni kutokubali kwake mfumo wa kibeberu. Ayatullah Ali Khamenei …
Jumapili, 05 Julai 2015 10:03

"Wamagharibi wanaogopa maendeleo ya Iran"

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema kuwa nchi zilizoiwekea vikwazo Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zina malengo mengine nyuma ya pazia na kwamba zinatumia …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, amemtaka Rais Hassan Rouhani kuimarisha nguvu za kijeshi za Iran na kuongeza uwezo wa taifa wa kujilinda. Miongozo hiyo ni sehemu ya barua ya …
Jumapili, 28 Juni 2015 10:47

Kiongozi akutana na familia za mashahidi

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa wale wanaotaka kuficha uadui wa Marekani na baadhi ya vibaraka wao kwa kutumia nyenzo za kipropaganda ni wasaliti wa taifa na nchi …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuhusiana na mazungumzo ya nyuklia ya Iran na kundi la 5+1 kwamba, vikwazo vya kiuchumi, kifedha na kibenki dhidi ya taifa …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Ali Khamenei amepongeza maendeleo ya maqari wa Qur'ani wa Iran na kusema kuwa sauti nzuri na ya kuvutia ya maqari ni utangulizi …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei ametoa ujumbe maalumu kufuatia hamasa isiyosahaulika iliyoonyeshwa hapo jana na wananchi Waislamu wa Iran katika jiji la Tehran ya …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema mafundisho ya Imam Khomeni MA ndio ramani ya njia ya taifa lililojaa matumaini la Iran na kwamba kuna udharura wa kukabiliana na upotoshaji …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, amesema kuwa, Imam Khomein (MA), Mwasisi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, ni kiini cha harakati kubwa ambazo zilitekelezwa na kusajiliwa na …