Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema leo Jumatano tarehe 25 Juni 2008 mbele ya Mkuu, viongozi na kundi la majaji na wafanyakazi wengine wa …
Ayatullah Udhma Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiisamu ya Iran, Jumanne Juni 24, 2008 amehudhuria katika sherehe za maulidi ya kuadhimisha siku ya kuzaliwa mama wa Maimamu, Bibi mteule …
Jumatatu ya jana ya tareha 16 Juni, Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran alisema kuwa ni jambo la dharura kwa nchi za Kiislamu …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesisitiza mbele ya hadhara kubwa ya waombolezaji walioshiriki katika makumbusho miaka 19 ya kufariki dunia Imam Khomeini MA kwamba, tuhuma zinazotolewa na …
Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Jumanne ya jana tarehe 27 Mei alikutana na kufanya mazungumzo hapa mjini Tehran na Khalid Mashal Mkuu …
MITAZAMO YA KIONGOZI MUADHAMU(NAFASI YA MWANAMKE KATIKA UISLAMU NA ULIMWENGU WA MAGHARIBI)Hii ni makala nyingine ya Hapa na Pale. Juma hili makala yenu hii inabeba anuani isemayo, Nafasi ya Mwanamke …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, matatizo, masaibu na mauaji yanayoendelea kujiri kila uchao nchini Iraq yanasababishwa na vikosi vamizi au vikosi hivyo vimeshindwa kutekeleza majukumu …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil udhma Khamenei amesema, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inawaunga mkono kwa dhati wananchi wa Iraq na serikali yao waliyoichagua na kusisitiza kuwa, tatizo …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, matatizo yanayoikabili jamii ya mwanadamu hii leo yanatokana na kutawala watu waovu. Ayatollahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema hayo kwa …
Kiongozi Mudhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa hofu ya madola ya Magharibi kuhusiana na mshikamano wa Kiislamu na kuundwa dola za Umoja wa Kiislamu ndio sababu inayoipelekea …
Ijumaa, 18 Aprili 2008 16:34

Nasaha za Kiongozi Muadhamu

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, udikteta na ubeberu wa Marekani na baadhi ya nchi za magharibi kwa mara nyingine tena umeyafanya mataifa mengine kupata ibra …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ametoa salama za rambirambi kwa kuuawa shahidi Imad Mughniyah mmoja wa viongozi watiifu wa harakati ya mapambano ya Kiislamu ya Lebanon na …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei ametoa ujumbe mzito na muhimu sana kwa umma wa Kiislamu ulimwenguni kutokana na kushadidi mashambulizi ya kinyama ya utawala …
Tangu Kuzaliwa Kwake hadi Kuanza Masomo: Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Ayatullahil Udhmaa Sayyid Ali Khamenei ni mwana wa marehemu Hujjatul Islam wal Muslimin al-Haj Sayyid Jawad …
Page 14 of 14