Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amelaani vikali jinai kubwa ya Saudi Arabia ya kumuua shahidi mwanazuoni muumini na madhulumu Sheikh Nimr Baqir al-Nimr.
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, hii leo ni zamu ya Ulimwengu wa Kiislamu kufanya harakati kwa ajili ya kuleta "Ustaarabu wa Kisasa wa Kiislamu" kwa kutumia elimu, …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: 'Mantiki ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kustawisha uhusiano na mataifa yote ya dunia." Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ameyasema hayo leo …
Jumatatu, 30 Novemba 2015 18:30

Nasaha za Kiongozi Muadhamu kuhusu Arubaini

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema harakati iliyojaa mahaba na imani ya watu wa nchi mbali mbali za dunia katika siku ya Arubaini ya Imam Hussein AS ni moja …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi yote ya Iran amesisitiza juu ya kudumishwa maendeleo na uboreshwaji wa jeshi la majini la Jamhuri …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itatetea kwa uwezo wake wote harakati ya wananchi wa Palestina. Ayatullah Khamenei …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa la Iraq ni taifa kubwa lenye historia kongwe na ambalo lina vijana wenye nguvu na ambao wako macho. Ayatullahil …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, taifa la Iran daima limekuwa na mtazamo chanya kwa Algeria na wananchi wa nchi hiyo kutokana na mapambano ya wananchi hao dhidi …
Jumapili, 22 Novemba 2015 20:01

Kiongozi: Ugaidi hauna uhusiano na Uislamu

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, jinai za kuogofya za makundi ya magaidi kama vile kukata vichwa na kuwachoma moto watu ni dalili ya kuwa mbali kabisa na …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesisitiza juu ya ulazima wa vyuo vikuu kutoa mchango katika kujenga ustaarabu mpya wa Kiislamu. Ayatullah Khamenei ameyasema hayo …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei, amesema wananchi wa Iran hawatoinyooshea mkono wa urafiki Marekani ambayo inatumia kila mbinu na hila kwa lengo la kuifuta …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amesema kuwa malengo ya Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati yanatofautiana kwa daraja 180 na ya Jamhuri ya Kiislamu ya …
Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amemwandikia barua Rais Hassan Rouhani ambaye pia ni Mkuu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa na huku akiashiria …
Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, jana usiku aliitembelea familia ya shahid Hussein Hamedani, aliyeuawa shahidi hivi karibuni wakati akilinda Haram ya Bibi Zaynab SA …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Ali Khamenei amesema kuwa mustakbali wa Iran unang'ara na unaambatana na maendeleo, uwezo na ushawishi wa kila siku katika kanda hii na …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) ni ngome hai na ya mstari wa mbele …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei ametoa mkono wa pole kufuatia kuuawa shahidi Brigedia Jenerali Hussein Hamedani katika vita dhidi ya magaidi huko Syria. Kiongozi …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa vikosi vya jeshi la Iran vinapaswa kuzidisha kasi ya maendeleo na kuzidisha utayarifu wake kwa kadiri kwamba, adui asithubutu hata kuwa na …
Alkhamisi, 24 Septemba 2015 21:44

Kiongozi Muadhamu:Utajo wa mashahidi utabakia

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, shahidi na kuuawa shahidi katika utamaduni wa Kiislamu ni dhihirisho la uhai na kung’ara. Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema hayo leo …
Jumatano, 09 Septemba 2015 20:35

"Marekani daima inapanga kuishambulia Iran"

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullahil-Udhma, Sayyid Ali Khamenei, amesema kuwa, Marekani haifichi uadui wake, na daima imekuwa ikipanga njama za kutaka kutoa pigo kwa taifa la Iran. Kiongozi …