Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumatatu, 19 Novemba 2012 18:45

"Hijja inadhihirisha umoja wa Waislamu"

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kwamba, ibada ya Hija inadhihirisha wingi, ukubwa na umoja wa ulimwengu wa Kiislamu. Ayatullah Ali Khamenei amesema hayo leo alipokutana na viongozi na …
Jumatano, 14 Novemba 2012 18:51

Kiongozi Muadhamu akosoa uhuru wa Kimagharibi

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amekosoa mfumo wa uhuru wa Kimagharibi ambao umepelekea kuibuka ubaguzi, utumizi mabavu na sera za kivita. Ayatullah Khamenei amefafanua …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, ikiwa mataifa ya eneo la Mashariki ya Kati na mengineyo yatathubutu kutenga siku moja na kuitangaza kuwa ni siku ya kujibari na Marekani, …
Hamdu zote ni za Allah, Mola Mlezi wa viumbe pia. Na rehema za Allah na salamu Zake zimfikie Mtume Mtukufu Mwaminifu na Aali zake watoharifu, wateule na masahaba wake wema. …
Alkhamisi, 25 Oktoba 2012 15:29

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu kwa Mahujaji

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, baada ya maadui kukata tamaa katika njama zao za kutaka kuufuta Uislamu na nara za Kiislamu, sasa wameamua kutumia njia ya kuzusha …
Alkhamisi, 25 Oktoba 2012 12:49

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu kwa mahujaji

Hamdu zote ni za Allah, Mola Mlezi wa viumbe pia. Na rehema za Allah na salamu Zake zimfikie Mtume Mtukufu Mwaminifu na Aali zake watoharifu, wateule na masahaba wake wema. …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyed Ali Khamenei amesema kuwa, ‘kizazi cha vijana nchini Iran kiko katika mstari wa mbele kukabiliana na madola makubwa yanayojitakia makuu’. Kiongozi Muadhamu …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, taifa la Iran haliwezi kufanya uchokozi wala kuvamia taifa lolote kwani kufanya hivyo ni kinyume na mafundisho ya Kiislamu.
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyed Ali Khamenei amesisitiza kuwa sababu kuu ya mashinikizo yote yanayotolewa dhidi ya Iran ni msimamo huru wa taifa la Iran na kutosalimu …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe kwa mnasaba wa Wiki ya Kujihami Kutakatifu na Siku ya Kuwaenzi Mashahidi na Wenye Kujitolea Mhanga na kuongeza kuwa, kujitolea nafsi katika …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amesema kuwa umoja wa umma wa Kiislamu unaoonekana kupitia kwa Mtume Mwisho Muhammad (saw) na chuki na hasira za Waislamu wote …
Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya udharura wa jeshi hilo kupata uwezo mkubwa wa kuzuia aina yoyote ya mashambulizi ya adui dhidi …
Jumatatu, 17 Septemba 2012 20:22

Wamagharibi wazuie kuvunjiwa heshima Mtume

Amirijeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kwamba, watawala wa Marekani na nchi za Ulaya wanapaswa kuzuia hatua za kuvunjiwa heshima shakhsia tukufu ya …
Ijumaa, 14 Septemba 2012 10:21

Imam Khamenei: Waliomtusi Mtume waadhibiwe

Kufuatia kitendo cha maadui wa Uislamu cha kumvunjia heshima Mtume Mtukufu Muhammad SAW, Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe kwa taifa la Iran na umma …
Alkhamisi, 06 Septemba 2012 20:26

Ayat. Khamenei: Mkutano wa NAM pigo kwa maadui

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, kufanyika mkutano wa 16 wa viongozi wa Harakati ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote NAM hapa Tehran, kumeifanya Jamhuri ya …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, wakati Swala inapopewa umuhimu wake unaotakiwa, huiandalia jamii mazingira ya kufikia katika nukta tukufu inayokusudiwa na dini ya Kiislamu.
Jumatano, 05 Septemba 2012 21:57

Kiongozi Muadhamu Aonana na Wajumbe wa Hawza

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza juu ya wajibu wa kupewa uzito wa hali ya juu suala la kufanyika mabadiliko katika Hawza (Vyuo Vikuu vya kidini) na kuwekwa hai …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei mapema leo amekutana na viongozi wa nchi mbalimbali wanachama wa Jumuiya isiyofungamana na Siasa za Upande Wowote waliokuwa wakihudhuria mkutano …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amekutana na kuzungumza na viongozi wa nchi mbalimbali pambizoni mwa mkutano wa 16 wa Harakati ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote uliomalizika …
Ijumaa, 31 Agosti 2012 22:39

NAM inapaswa kushughulikia suala la Syria

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Jumuiya ya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote NAM inapaswa kufanya ubunifu na kuhitimisha hali ya sasa inayotawala huko nchini …