Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, mtazamo wa Uislamu na Qur'ani kwa haki za kijamii na mtu binafsi za mwanaume na mwanamke ndio mtazamo wa kimantiki, matini na …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema leo katika kikao cha Kimataifa cha Maulamaa na Mwamko wa Kiislamu kilichoanza leo hapa Tehran kuwa kadhia ya mwamko wa Kiislamu ni suala …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, katika uga wa kimataifa taifa la Iran linahitajia Rais ambaye ni shujaa na mwenye kuuchukia uistikbari; amma katika uga wa ndani, taifa …
Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Marekani ina mtazamo unaokinzana kuhusu mauaji ya watu wasio na hatia. Kiongozi Muadhamu ameyasema hayo Jumatano ya leo …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei mapema leo amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi aliyeko safarini hapa nchini. Ayatullah Khamenei ameashiria mtazamo chanya …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Marekani na washirika wake wanapaswa kutambua haki ya Iran ya kunufaika na teknolojia ya atomiki kwa matumizi ya amani. Akiwahutubia …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameutangaza mwaka mpya wa 1392 Hijria Shamsiya kuwa, 'Mwaka wa Hamasa ya Kisiasa na Hamasa ya Kiuchumi' kwa taifa la Iran. Ayatullahil Udhma Sayyid …
Jumatatu, 11 Machi 2013 19:50

Kiongozi Muadhamu akutana na wanamichezo

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, mashujaa wa michezo wanadhihirisha uwezo wa taifa na kulifanya lizidi kujiamini. Ayatullah Ali Khamenei amesema hayo leo alipokutana na viongozi …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema mwanamke Mwislamu Muirani ana nafasi ya kihistoria katika kuarifisha kigezo kipya cha mwanamke. Kiongozi Muadhamu ameyasema hayo katika …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametaja mimea na miti kuwa chimbuko la ustawi na Baraka kwa nchi zote na jamii ya mwanaadamu. Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei ameyasema hayo …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amesema kuwa matatizo mengi ya Umma wa Kiislamu ni matatizo ya kutwishwa na yaliyobuniwa na maadui wa Uislamu. Ayatullah Khamenei ameyasema …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema maandamano ya kila mwaka ya kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ni mithili ya dharba nzito inayowashukia maadui …
Alkhamisi, 07 Februari 2013 20:07

Kiongozi Muadhamu: USA inatafuta karata ya turufu

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema kuwa, kama kuna watu wanaotaka kurejesha kwa mara nyingine utawala wa Kimarekani nchini Iran, basi wananchi watawashika makoo …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuendelea kuwepo Mapinduzi ya Kiislamu, uwezo na ustawi wa Iran licha ya mashinikizo ya maadui katika kambi ya istikbari ya kimataifa ni shara …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuendelea kuwepo Mapinduzi ya Kiislamu, uwezo na ustawi wa Iran licha ya mashinikizo ya maadui katika kambi ya istikbari ya kimataifa ni ishara …
Jumapili, 13 Januari 2013 20:21

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu kwa wanachuo

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, vijana azizi wa taifa la Iran wanapaswa kujiweka tayari kwa ajili ya kupiga hatua zenye kasi kubwa za maendeleo kuelekea kwenye malengo …
Jumanne, 08 Januari 2013 18:48

Imam Khamenei asisitiza kusimama imara Iran

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema kuwa, katika kipindi cha miongo mitatu iliyopita, taifa la Iran limeweza kukabiliana na njama za hali kubwa za …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema harakati ya sayansi Iran ilinawiri na kustawi wakati nchi za Magharibi zilipokuwa katika kiza. Katika ujumbe wake kwa Kongamano …
Jumanne, 11 Disemba 2012 20:19

Ayat. Khamenei: Wasomi wana mchango muhimu

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhmaa Ali Khamenei amesema kuwa sharti kuu la kutekelezwa vyema mchango wa wahadhiri wa vyuo vikuu, wasomi na watu wenye vipawa kwa ajili …
Jumatano, 21 Novemba 2012 20:33

Kiongozi: Mauaji ya Ghaza yawaamshe Waislamu

Kiongozi Muadhamu wa Jamhuri ya Kiislamu amesisitiza kuwa, ukatili wa Wazayuni katika mashambulizi ya watu wasio na hatia wala ulinzi wa Ghaza, yanapaswa kuamsha dhamiri ya ulimwengu wa Kiislamu na …