Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, vijana wenye vipaji wa Iran ndio wapangaji na wahandisi wa maendeleo ya baadaye ya Iran. Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema hayo …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema kuzipa umuhimu ghaya aali na tukufu za Mfumo wa Kiislamu na izza ya taifa ni miongoni mwa mambo …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema kuwa changamoto kuu zinazoyakabili Mapinduzi ya Kiislamu hivi sasa, ni kukabiliana na tawala zenye kupenda kujitanua …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameelezea matumaini kuwa mwelekeo mpya wa Marekani nchini Syria ni wa dhati, si hadaa na ni kurejea kutoka kwenye mweleko ghalati wa kujiamulia mambo …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amesema kuwa serikali, viongozi wa nchi, wanasiasa, wanadiplomasia na wananchi wote wanapaswa kuchambua kwa umakini harakati, mwenendo tata na madai ya …
Jumatano, 04 Septemba 2013 19:39

'Kuhimiza sala ni wadhifa wa muumini'

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuboresha Sala na kuwahimiza watu wengine kuswali ni moja ya nyadhifa muhimu za waumini. Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei ameyasema hayo katika ujumbe …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amesema kuwa imani na umoja ndio chachu ya mapambano ya mataifa mbalimbali dhidi ya njama zinazofanywa na maadui. Ayatullah Khamenei ambaye …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema ukabidhianaji madaraka ya urais kwa njia ya amani ni natija ya mfumo wa demokrasia ya Kiislamu nchini Iran. Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei …
Jumatatu, 29 Julai 2013 09:44

"Mwamko wa Kiislamu ni tukio muhimu sana"

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, mwamko wa Kiislamu ni tukio muhimu ambalo haliwezi kufutika kutokana na hoja zisizo za kimatiki za ubeberu. Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei …
Jumatatu, 22 Julai 2013 10:09

Kiongozi Muadhamu: Wamarekani hawaaminiki

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Wamarekani hawaaminiki, wasiotumia mantiki na sio wakweli wa kufanya nao miamala. Kiongozi Muadhamu Sayyid Ali Khamenei, aliyasema hayo jioni ya jana alipokutana …
Katika siku ya tano ya mwezi mtukufu wa Ramadhani, Ayatullahil Udhma Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, amekutana na Rais Mahmoud Ahmadinejad pamoja na baraza lake …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amesema kuwa mwongozo wa Qur'ani na mtindo wa maisha ya Kiislamu vinapaswa kutawala katika jamii ya Kiislamu. Ayatullah Khamenei aliyasema hayo …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema nchi chache zinazojitakia makuu zinazuia utatuzi wa kadhia ya nyuklia ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei Kiongozi Muadhamu …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema koo na ulimi wa wale wanaotoa wito wa umoja miongoni mwa Waislamu ni koo ya Mwenyezi Mungu na koo na ulimi unaoibua  uhasama …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amehutubia hadhara kubwa ya wananchi na wageni kutoka mataifa mbalimbali waliokuja hapa nchini kushiriki kwenye maadhimisho ya kukumbuka kutimia miaka 24 tokea alipofariki dunia …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, kujitokeza kwa wingi na kwa shauku taifa la Iran katika uchaguzi wa Juni 14 mwaka huu kutaonesha mafanikio makubwa ya Mapinduzi na …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, 'katika kufikia malengo yao na kuvunja njama za maadui, wananchi wa Iran watajitokeza kwa wingi katika uchaguzi ujao wa rais na kumchagua …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa mtazamo sahihi juu ya mwanamke ni ule unaozingatia jinsia yake na thamani zinazomtukuza. Ayatullahil Udhma Seyyid Ali Khamenei ameyasema hayo leo kwa …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, kuendelea mkondo wa kasi wa ustawi wa Iran katika nyanja mbali mbali ni jambo linalohitajia harakati ya kuibua hamasa ya kisiasa na …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amesema kuwa, maadui wanataka kuwasha moto wa uadui kati ya Waislamu wa madhehebu za Shia na Suni kwa kuvunjia heshima haramu …