Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, kuuletea madhara mshikamano na kuzusha mizozo baina ya Waislamu wa Kishia na Kisunni ni moja ya vithibitisho vya kukufuru neema za Mwenyezi …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema kuwepo idadi kubwa ya wanawake wenye vipaji, wasomi, wenye fikra nzuri na wateule katika Iran ya Kiislamu ni …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema shughuli za ustawi na utafiti wa nyuklia Iran kamwe hazitasimamishwa. Kiongozi Muadhamu ameyasema hayo leo Jumatano mjini Tehran …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, wananchi wa Iran katika kipindi cha kujilinda kutakatifu walithibitisha kwamba wameweza kuvuka vikwazo vyote vigumu na kumshinda adui kwa kutegemea umoja na …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, matukio ya ulimwengu yanakwenda kinyume na matakwa ya Marekani. Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei ameyasema hayo leo ambayo ni siku …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei ameuita mwaka mpya wa 1393 Hijria Shamsia ulioanza leo kuwa ni mwaka wa Uchumi na Utamaduni kwa Azma ya Taifa na …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, sera za 'Uchumi wa Kusimama Kidete' ni tadbiri ya muda mrefu katika ustawi wa kiuchumi na kufikia malengo ya juu ya kiuchumi ya …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Jumatano hii ameshiriki kwenye Wiki ya Mazingira nchini Iran kwa kupanda mti. Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amepanda mti katika moja ya maeneo ya …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei ametoa wito kwa mihimili mitatu mikuu ya serikali ya Iran ifuatilie kwa kina na kutekeleza sera jumla za ‘uchumi …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, hana matumaini na mazungumzo ya nyuklia kati ya Iran na kundi la 5+1 lakini pia hapingi mazungumzo hayo. Akihutubia hii leo maelfu …
Jumamosi, 08 Februari 2014 18:57

'Marekani haiwezi kuuondoa Mfumo wa Kiislamu'

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema madola yanayoingilia masuala ya ndani ya nchi nyengine ni kikwazo kwa maendeleo na kujitawala nchi za eneo hili. …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, leo hii umoja na mshikamano, ndio mambo yenye umuhimu mkubwa zaidi katika ulimwengu wa Kiislamu. Akihutubia mbele ya hadhara kubwa ya viongozi …
Alkhamisi, 09 Januari 2014 20:42

"Marekani, mkiukaji mkubwa wa haki za binadamu"

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Marekani ni mkiukaji mkubwa wa haki za binadamu duniani. Akizungumza leo mbele ya hadhara kubwa ya wananchi wa matabaka mbalimbali kutoka mkoa …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuhusu wajibu wa kuwepo jitihada zenye ubunifu katika kukabiliana na hujuma ya kiutamaduni. Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei ameyasema hayo leo Jumanne katika …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Seyyid Ali Khamenei amesema kuwa, hakuna kizingiti chochote katika njia ya kustawisha zaidi uhusiano kati ya Iran na Iraq na kupanua ushirikiano …
Amirijeshi Mkuu wa vikosi vyote vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya udharura wa Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu kufanya jitihada kubwa za kujenga …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameiunga mkono timu ya mazungumzo ya nyuklia ya Iran na kundi la 5+1 mjini Geneva na pia amesisitiza umuhimu wa kuzingatiwa mistari myekundu ya …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Khamenei jana usiku alishiriki kwenye maombolezo ya Tasu'a ya Hussein, siku ya tisa ya masaibu ya Imam Hussein A.S katika Husseiniya ya …
Jumapili, 03 Novemba 2013 18:52

Kiongozi Muadhamu: Hatuna imani na Marekani

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesifu hatua ya vijana waumini na mashujaa wa Vyuo Vikuu vya Iran ambao tarehe 13 Aban mwaka 1358 Hijria Shamsia sawa na tarehe 4 …
Kwa jina la Allah Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu Hamdu zote ni zake Mwenyezi Mungu Mola wa walimwengu na sala na salamu zimshukie Bwana wa Manabii na Mitume wa Mwenyezi …