Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumatatu, 15 Septemba 2014 12:37

Kiongozi Muadhamu aruhusiwa kuondoka hospitali

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhmaa Sayyid Ali Khamenei leo asubuhi ameruhusiwa kuondoka hospitalini alipokuwa amelazwa baada ya kufanyiwa upasuaji wa tezi kibofu (prostate) siku kadhaa zilizopita. Habari …
Jumatano, 10 Septemba 2014 19:41

Maulamaa wamtembelea Kiongozi hospitalini

Maulamaa na wanazuoni wanaoshiriki katika Kongamano la Kimataifa la 'Maulamaa wa Kiislamu Wanaounga Mkono Harakati ya Muqawama ya Wapalestina leo wamekwenda hospitalini hapa Tehran kumjulia hali Ayatullahil Udhma Sayyid Ali …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema kuwa, viongozi wa serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wanapaswa kutafuta radhi ya Allah SWT …
Jumatano, 13 Agosti 2014 21:12

'Israel lazima isitishe mzingiro wake Ghaza'

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei amesema utawala wa Kizayuni wa Israel unapaswa kulipa fidia ya jinai zake huko Ghaza kwa kuondoa mzingiro dhidi ya Wapalestina …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, 'ulimwengu wa Kiislamu kwa kuweka kando hilitalfu zilizopo, utumie uwezo wake wote kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya Wapalestina katika Ukanda wa …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesifu msimamo imara uliochukuliwa na Rais Hassan Rouhani na serikali kwa ujumla katika kukabiliana na matukio ya kusikitisha yanayoendelea huko Ukanda wa Ghaza. Akizungumza …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema Marekani na Uingereza zinaunga mkono hujuma zinazoendelea za utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina huko Ghaza.  Akizungumza …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, vyombo vya mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hivi sasa vinalengwa na madola ya kibeberu ya Magharibi na hasa Marekani.Akizungumza na …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inapinga uingiliaji wa Marekani na madola mengine katika masuala ya ndani ya Iraq. Ayatullahil Udhma Sayyid Ali …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema maudhui ya Umahdi na kudhihiri Imam wa Zama (ATF) ni ahadi isiyopingika ya Mwenyezi Mungu kwa ajili ya kuongoza jamii ya mwanaadamu. Ayatullahil …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, silaha za nyuklia zinapingana kikamilifu na ubinadamu. Ayatullah Ali Khamenei amesema hayo leo akiwahutubia wakuu, wakurugenzi na wahakiki wa Jihadi ya Vyuo …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haijawahi kusalimu amri mbele ya nchi za Magharibi na kwamba imeweza kustawi na kuendelea …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa: kushikamana na Qur'ani ni jambo ambalo litauletea Umma wa Kiislamu heshima. Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei ameyasema hayo leo Jumanne hapa mjini …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema, umoja na kuundwa umma ulio shikamana ni hitajio la dharura katika Ulimwengu wa Kiislamu. Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei ameyasema hayo …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, njia pekee ya kuweza kusimama imara kukabiliana na kambi ya kibeberu iliyo dhidi ya ubinadamu ni kuendeleza fikra ya "kupambana" na kambi …
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Marekani imekasirishwa na hatua ya taifa la Iran ya kusimama kidete mbele ya mgawanyiko wa dunia katika …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, ni upumbavu wa mwisho wa adui kudhani kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itawekea mipaka na kikomo mipango yake ya makombora. Ayatullahil …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, 'uungaji mkono wa pande zote kwa sekta ya elimu ni uwekezaji wenye taathira kwa ajili ya mustakabali wenye kunawiri kwa vijana na ustawi …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwaenzi na kuwaheshimu wafanyakazi na wale wote wanaohusika katika uga wa uzalishaji ni dharura ambayo imesisitizwa na Uislamu. Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa salamu za rambi rambi kufuatia kifo cha mjumbe wa Baraza la Wanazuoni Wataalamu wanaomchagua Kiongozi na Imam wa Sala ya Ijumaa wa Jamii …