Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa ustaarabu wa Kiislamu hauwezi kutimia bila ya kuwepo kigezo cha maendeleo cha Kiislamu.
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, nchi huru zinapaswa kushirikiana kadiri inavyowezekana licha ya kuweko njama za kila namna za baadhi ya madola ya kibeberu.
Amirijeshi Mkuu wa vikosi vyote vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitizia udharura wa kutiliwa nguvu uwezo wa operesheni za kijeshi na misukumo ya kimaanawi na kidini ya …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, mfumo wa kibeberu uliosimama juu ya msingi wa kutumia mabavu ya kisiasa, kiuchumi, kiutamaduni na kijeshi, haudharau hata fursa moja unayoipata kwa …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ametoa ujumbe kwa mnasaba wa kuanza kwa mwaka mpya 1395 Hijiria Shamsia na kutoa mkono wa kheri na fanaka kwa sikukuu hii …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amesema kuwa historia ya Uswisi ya kutojiunga na mashinikizo na vikwazo vya baadhi ya nchi za Magharibi dhidi ya Iran ni …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza udharura wa wananchi wote wa Iran kushiriki katika uchaguzi wa Bunge la Baraza la Watalamu kwa shabaha ya kuzima na kubatilisha njama za …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Jamhuri ya Azerbaijan ni mzuri.
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, kujitokeza kwa wingi na kwa mwamko wananchi wa Iran katika chaguzi mbili zijazo za Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) …
Jumatatu, 08 Februari 2016 20:02

Kiongozi Muadhamu: Ulaya ina haki ya kukosolewa

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, Ayatullah Ali Khamenei, amesema kuwa, nchi za Ulaya zina haki ya kukosolewa na kwamba tofauti na huko nyuma hivi sasa nchi za …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa anga inayotawala sekretarieti ya Baraza Kuu la Usalama wa Taifa na maamuzi yake inapaswa kwenda sambamba na fikra sahihi, halisi za kimapinduzi …
Makamanda wa Jeshi la Majini la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH wamepewa nishani ya ushindi na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Ali Khamenei ambaye pia ni Amirijeshi …
Jumapili, 24 Januari 2016 18:34

'Kuwakamata wanajeshi wa Marekani ni ushujaa'

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, hatua ya hivi karibuni ya jeshi la majini la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH ya kuwakamata wanajeshi wa Marekani walioingia kwenye …
Jumamosi, 23 Januari 2016 20:48

Kiongozi Muadhamu akutana na Rais wa China

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: "Mapatano ya marais wa Iran na China kuhusu 'mpango wa miaka 25 wa uhusiano wa kistratijia' baina ya nchi mbili ni hatua …
Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe kwa Umoja wa Jumuiya za Kiislamu za Wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya barani Ulaya na kusema kwamba, kuwa na …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa mahudhurio makubwa ya wananchi wa Iran katika uchaguzi wa tarehe 26 Februari hapa nchini yatadumisha amani na heshima ya taifa la Iran …
Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, dini tukufu ya Kiislamu si tu kwamba inaunga mkono masuala ya sanaa, lakini hata inashajiisha kufanya kazi za kisanii.
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, licha ya kuweko mashinikizo yote haya dhidi ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, lakini yameendelea kuwa imara kwenye misingi na malengo yake …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa njia ya kutatua matatizo ya Afghanistan ni muungano wa kaumu na umoja wa viongozi wa nchi hiyo.
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitizia haja ya kushiriki kwa wingi inavyowezekana wananchi wa Iran katika uchaguzi wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge) na uchaguzi wa Baraza la …
Page 1 of 14