Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Iran imefikia karibu malengo yake yote makuu baada ya kuanza kutekelezwa makubaliano ya nyuklia kati ya Tehran na nchi …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amejibu barua aliyoandikiwa na Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusu kumalizika mazungumzo ya nyuklia na amesema, amefurahishwa na kuona kuwa …
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, utawala wa Aal-Saud wa Saudi Arabia unaeneza chuki na propaganda dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ili kuibuka taharuki …
Jumanne, 19 Januari 2016 06:42

Mogherini: Kutekelezwa JCPOA ni hatua kubwa

Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa kutekelezwa makubaliano ya nyuklia kati ya Iran na kundi la 5+1 ni hatua kubwa katika mwelekeo sahihi. Bi Federica …
Makamu wa Rais na ambaye pia ni Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (IAEO) amesema kuwa safari ya Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya …
Jumatatu, 18 Januari 2016 20:19

Rais amwandikia barua Kiongozi Muadhamu

Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtumia barua Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu na kueleza mafanikio iliyopata Iran katika nyuga za kinyuklia, kisiasa, kisheria na kiuchumi.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema anataraji kuwa kutekelezwa Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) kutaandaa fursa nzuri kwa ajili ya ustawi zaidi wa kisiasa …
Yukiya Amano, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA amewasili leo hapa mjini Tehran kwa nia ya kupanua uhusiano wa wakala huo na Jamhuri ya Kiislamu …
Serikali ya Algeria imeipokea kwa furaha habari ya kuanza kutekelezwa Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) na kuondolewa vikwazo dhidi ya Iran na kusema kuwa, hayo ni mafanikio ya …
Rais Barack Obama wa Marekani amekiri kuwa vikwazo vya kidiplomasia dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran havikuwa na maslahi kwa nchi yake.
Jumapili, 17 Januari 2016 11:32

Dunia yakaribisha mapatano ya nyuklia ya Iran

Dunia imepokea vizuri tangazao la Wakala wa Kimataifa wa Nisahti ya Atomiki IAEA kuhusu kufungamana Iran na ahadi zake katika mapatano ya nyuklia sambamba na taarifa ya pamoja ya Waziri …
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelipongeza taifa la Iran kwa mafanikio liliyoyapata katika uga wa nyuklia kwa kuanza kutekelezwa Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
Muhammad Javad Zarif, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na timu ya ngazi za juu ya nyuklia ya Iran wameondoka mjini Vienna Austria na kurejea …