Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Radiamali zimeendelea kutolewa kufuatia balozi wa Saudia nchini Romania kumbaka msaidizi wake na kisha kumuu. Kwa mujibu wa polisi ya Romania, balozi huyo wa Saudia Abdulrahman Bin Ibrahim Al-Rassi alimbaka …
Alkhamisi, 28 Aprili 2016 19:47

Mtoto wa miaka miwili amuua mama yake US

Mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka miwili amemuua mama yake kwa kumpiga risasi katika mkasa uliotokea kwenye mji wa Milwaukee katika jimbo la Wisconsin nchini Marekani.
Mji wa Pazardzhik nchini Bulgaria umepiga marufuku vazi la stara la burqa linalovaliwa na wanawake wa Kiislamu.
Kamanda mwandamizi wa kundi la kigaidi la Ahrar al-Sham lenye mafungamano na mtandao wa kimataifa wa al-Qaeda ameuawa katika hujuma ya bomu iliyolenga ngome za kundi hilo katika mkoa wa …
Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Syria amesema watu wapatao laki nne wamepoteza maisha kutokana na vita vya zaidi ya miaka mitano vilivyoikumba nchi hiyo ya Kiarabu.
Watu zaidi ya 100 wamepoteza maisha kutokana na joto kali nchini India, ambalo limepelekea kufungwa mashule na kukwamisha shughuli mbalimbali za kila siku.
Majasusi watano wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamehukumiwa adhabu ya kifo katika Ukanda wa Gaza.
Saudi Arabia imehusishwa na hujuma za kigaidi za Septemba 2001 nchini Marekani lakini pamoja na hayo Rais Barack Obama wa nchi hiyo amelaani mswada wa sharia unaotaka watawala wa Saudia …
Jumatatu, 18 Aprili 2016 19:05

Mazungumzo ya amani ya Yemen yaakhirishwa

Pande zinazopigana nchini Yemen zimetangaza kuwa mazungumzo ya amani ya nchi hiyo yameakhirishwa.
Askari wa utawala wa kidikteta wa Bahrain wamemtia mbaroni Sheikh Muhammad al-Mansi, aalimu mashuhuri wa nchi hiyo kwa kosa la kusalisha Sala ya jamaa.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergey Lavrov amesema kuwa, siasa za matumizi ya silaha za nyuklia zinazofuatwa na Korea Kaskazini, hazikubaliki.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani Jared Caplan, amesema nchi hiyo haina mpango mwengine wowote wa pili kwa ajili ya kutatua mgogoro wa Syria na kwamba mpango …
Utawala wa Aal Saud umeyapuuza makubaliano ya usitishaji vita yaliyotangazwa nchini Yemen na kuendelea kuyashambulia kwa makombora maeneo mbalimbali ya nchi hiyo.
Wito wa Waziri Mkuu wa Ufaransa Manuel Valls wa kutaka vazi la hijabu lipigwe marufuku katika vyuo vikuu vya nchi hiyo limezusha makelele makali miongoni mwa mawaziri wa serikali.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria Faisal al-Miqdad amesema serikali ya Damascus inapinga pendekezo la wapinzani la kuundwa serikali ya mpito nchini humo.
Utawala wa kidikteta nchini Bahrain umeyaweka makundi na harakati za kisiasa 68 nchini humo katika orodha ya makundi ya kigaidi.
Idadi ya watu waliopoteza maisha katika mkasa wa moto uliotokea alfajiri ya leo kusini mwa India imepindukia 100.
Robo tatu ya raia nchini Ufaransa wanapinga Rais wa nchi hiyo François Hollande kugombea tena urais katika uchaguzi mkuu ujao.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanyika kwa kisingizio cha kupambana na makundi yenye mitazamo mikali ni maafa kwa dunia ya sasa.
Wanafunzi wa kiume Waislamu wa Manispaa ya Therwil katika jimbo la Basel nchini Uswisi hawatohitajika tena kuwapa mikono walimu wao wa kike kufuatia uamuzi uliotolewa Mamlaka za Elimu katika eneo …
Page 1 of 102

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …