Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Shirika la haki za binadamu la "Europe-Mediterranean Human Rights Watch" limetoa ripoti kuhusiana na siku 100 za tangu kuanza Intifadha ya Quds huko Palestina, na kulaani jinai za utawala wa …
Serikali ya Algeria imeipa Mamlaka ya Ndani ya Palestina msaada wa dola milioni 26 kama njia ya kuchangia bajeti ya mwaka 2016 ya Palestina.
Waziri wa Sheria wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameitaka jamii ya kimataifa kuchukua hatua za maana na za kivitendo kwa ajili ya kusitisha mara moja jinai za kila uchao …
Utawala wa Kizayuni wa Israel umewaonya raia wake waache kutembelea baadhi ya nchi za Afrika.
Harakati za muqawama za Palestina za Hamas na Jihadul Islami zimetoa taarifa za kupongeza muqawama wa kishujaa wa wananchi wa Palestina katika kukabiliana na jinai za utawala wa Kizayuni na …
Harakati ya Mapambano ya Kiisalmu ya Palestina Hamas imesema kuwa mapigano yajayo kati ya harakati hiyo na utawala ghasibu wa Israel yataishangaza na kuitia kiwewe Israel.
Alkhamisi, 07 Januari 2016 19:05

Mfungwa mdogo zaidi kiumri yuko gerezani Israel

Duru za Palestina zimetangaza kuwa mtoto mdogo mwenye umri wa miaka 11 amefungwa kwenye jela ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
Wahadhiri na maulamaa kadhaa wa Misri wamepinga mwito wa mwandishi na mtaalamu jamii mmoja wa nchi hiyo aliyetaka Chuo Kikuu cha Kiislamu cha al Azhar kiwekwe kwenye orodha ya taasisi …
Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa wa masuala ya haki za binadamu huko Palestina amejiuzulu wadhifa wake kulalamikia mwenendo wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
Walowezi wa Kizayuni wenye misimamo mikali wakipewa himaya na wanajeshi wa Kizayuni kwa mara nyingine wameuhujumu Msikiti wa Al Aqsa na kuuvunjia heshima.
Mwafaka uliosainiwa mwaka jana na Makao Makuu ya Kanisa Katoliki Duniani Vatican wa kuitambua rasmi Palestina kama nchi huru sasa umeanza kutekelezwa rasmi.
Mwanamapambano wa Palestina ametekeleza oparesheni ya shambulio na kuwaangamiza Wazayuni wawili mjini Tel Aviv.
Idadi ya raia wa Kipalestina wanaoishi ndani na nje ya maneo yanayokaliwa kwa mabavu imevuka zaidi ya milioni 12.
Jumatano, 30 Disemba 2015 10:30

Israel yaua Wapalestina 142 tangu mwezi Oktoba

Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameua zaidi ya Wapalestina 140 wakiwemo makumi ya watoto wadogo huku hali ya wasiwasi ikizidi kuwa kubwa kati ya Wapalestina na wanajeshi wa …
Jumatatu, 28 Disemba 2015 17:33

Walowezi wa Kiyahudi wavamia tena al-Aqswa

Walowezi wa Kizayuni kwa mara nyingine tena wamefanya hujuma na uvamizi katika msikiti mtakatifu wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
Naibu wa Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, majibu ya harakati hiyo yatakuwa makali sana kwa shambulio lolote linaloweza kufanywa …
Wananchi wa Palestina wamefanya maandamano na mkusanyiko mkubwa wakiutaka utawala haramu wa Israel ukabidhi maiti za mashahidi waliouawa na utawala huo katika Intifadha ya Quds.
Jumamosi, 26 Disemba 2015 06:23

Wazayuni wawaua shahidi Wapalestina wengine 2

Jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel limeua shahidi Wapalestina 2 na kujeruhi makumi ya wengine katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, katika kile kinachoonekana ni muendelezo wa ukatili …
Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema utawala wa Kizayuni wa Israel hatimaye utatoweka tu. Sheikh Naim Qassem amebainisha hayo na kusisitiza kwamba Wazayuni hatimaye wataangamia tu; na Israel …
Vyombo vya habari vya Utawala wa Kizayuni wa Israel vimepeperusha kanda ya video inayotoa wito wa kuendelezwa wimbi la mauaji na hujuma za kikatili dhidi ya Wapalestina.

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …