Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Alkhamisi, 15 Oktoba 2015 09:09

Wapalestina wako imara kupambana na Wazayuni

Kiongozi mmoja mwandamizi wa harakati ya Jihadul Islami ya Paletina amesema kuwa, wananchi wa Palestina wako imara katika kukabiliana na jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel. Khaled al Batsh …
Jumanne, 13 Oktoba 2015 14:33

HAMAS yasema Netanyahu ni muongo na katili

Msemaji wa Harakati ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) ameyataja kuwa ya uongo na ya kitapeli matamshi ya hivi karibuni ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel. Hapo …
Kiongozi mwandamizi wa harakati ya Jihadul Islami ya Palestina ametoa wito kwa makundi ya muqawama kupanga mkakati uliokamilika ili kufanikisha Intifadha ya Tatu. Khalid Al-Batash amesema ili kufanikisha Intifadha, makundi …
Mpalestina mwengine ameuawa shahidi baada ya kupigwa risasi na wanajeshi katili ya utawala wa Kizayuni wa Israel. Kituo cha upashaji habari cha Palestina kimetangaza leo asubuhi kuwa, wanajeshi wa utawala …
Jumapili, 11 Oktoba 2015 13:44

Israel yaua mama mjamzito na mwanawe Gaza

Mama mjamzito wa Kipalestina pamoja na binti yake wa miaka mitatu wameuawa shahidi katika shambulio la anga lililofanywa alfajiri ya kuamkia leo na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel, …
Mwanamapambano mmoja wa Paletina amemuangamiza mwanajeshi mmoja Mzayuni katika eneo la Babul Amud, kwenye mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu na Israel. Shirika la habari la Palestina SAFA limeripoti habari …
Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amekosoa matamshi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, John Kerry aliyeyaita mapambano ya Intifadha ya Wapalestina dhidi ya …
Serikali ya Palestina imefanya kikao cha dharura kujadili hali ya mambo katika maeneo ya Wapalestina na mashambulio yanayofanywa na Wazayuni katika maeneo hayo.  Serikali hiyo inayoongozwa na Waziri Mkuu Rami …
Jumanne, 06 Oktoba 2015 20:00

Wanajeshi wa Israel waendeleza ukatili Quds

Wanajeshi wa Israel wameendeleza ukatili wao dhidi ya Wapalestina katika mji wa Quds Mashariki (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu. Afisa wa Hilali Nyekundu ya Palestina, Amin Abu Ghazaleh amesema machafuko yaliibuka …
Miji mbalimbali ya Afrika Kusini imeshuhudia maandamano ya kuwaunga mkono wananchi madhlumu wa Palestina. Maelfu ya wakazi wa miji ya Cape Town, Johannesburg, Pretoria na Benoni walimiminika mabarabarani hapo jana …
Wananchi wa Palestina wamemiminika barabarani kulaani mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel. Televisheni ya al Aqsa imeripoti habari hiyo na kuongeza kuwa, Wapalestina wa mji wa Tulkarm, kaskazini mwa …
Jumatatu, 05 Oktoba 2015 19:11

Hamas yataka makundi ya Palestina yaungane

Kiongozi mmoja mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitizia haja ya makundi ya wanamapambano wa Kiislamu yanayopambana na utawala wa Kizayuni yaungane na kuwa kitu kimoja.Moussa …
Mkuu wa zamani wa Baraza la Usalama wa Ndani wa utawala wa Kizayuni wa Israel amesema Mamlaka ya Ndani ya Palestina hailipi umuhimu wowote suala la kulikarabati na kulijenga upya …
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema kubeba silaha ndio njia pekee ya kuulinda msikiti mtukufu wa Al- Aqsa. Mahmoud Al-Zahar afisa mwandamizi wa ofisi ya kisiasa ya …
Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limelaani jinai unazofanya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina. Amnesty International imetoa taarifa na kutangaza kuwa kitendo cha wiki …
Alkhamisi, 24 Septemba 2015 16:00

Waislamu watakiwa kuuhami Msikiti wa al-Aqsa

Khatibu wa Swala ya Idul Adh’ha hapa mjini Tehran ametoa wito kwa Waislamu kote duniani kupinga na kulaani hujuma za utawala haramu wa Israel dhidi ya msikiti mtakatifu wa al-Aqsa …
Uchunguzi wa maoni uliofanya na taasisi moja ya kufuatilia masuala ya kisiasa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu umeonyesha kuwa, asilimia 65 ya raia wanataka Rais wa Mamlaka ya Ndani ya …
Jumuiya ya Maulama wa Palestina imesema kuwa, Masjidul Aqsa ni amana kwa maulamaa wa ulimwengu wa Kiislamu. Kituo cha habari ya Palestina kimemnukuu Sheikh Marwan Abu Ras, mkuu wa jumuiya …
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu Palestina Hamas imeitaka Misri isitishE hatua yake ya kumwaga maji kwa wingi katika mahandaki yanayotumiwa na Wapalestina kwa ajili ya kusafirishia bidhaa zao muhimu na …
Mufti wa Quds na ardhi za Palestina amewataka Wapalestina kushikamana kwa ajili ya kukabiliana na njama na hujuma za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Masjidul Aqswa. Sheikh Muhammad …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …