Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Licha ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni, kukubaliana na suala la kuwekwa kamera katika eneo la Masjidul Aqswa, wanajeshi katili wa Israel wameendelea kufanya jinai dhidi ya …
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesisitiza kwamba, jamii ya kimataifa inapaswa kuchukua misimamo ya kweli dhidi ya uvamizi na jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel huko …
Dakta Mahmoud al-Zahar, mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, Intifadha ya Quds ni hatua muhimu ya kukombolewa kikamilifu Palestina. Dakta …
Jumamosi, 24 Oktoba 2015 18:58

Tunisia waunga mkono Intifadha ya Quds

Wananchi wa Tunisia wamefanya maandamano makubwa ili kuonyesha mshikamano wao kwa wananchi madhulumu wa Palestina. Watunisia wakiwemo viongozi wa vyama vitano vya upinzani nchini humo leo wamefanya maandamano huko Tunis …
Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amelaani jinai zinazoendelea kufanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina na kutoa wito kwa jamii ya kimataifa …
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani John Kerry, amemtaka Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni, kukomesha haraka mashambulizi na utumiaji mabavu wa askari wa Israel dhidi …
Alkhamisi, 22 Oktoba 2015 13:43

HAMAS: Katibu Mkuu wa UN yuko pamoja na Israel

Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon yuko pamoja na utawala wa Kizayuni wa Israel katika mgogoro unaoendelea hivi sasa …
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ameshindwa kulaani uchokozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wakati wa safari yake katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa …
Jumatano, 21 Oktoba 2015 20:16

UNESCO yakosoa uchokozi wa Israel Palestina

Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) limekosoa uchokozi wa wazi wa utawala haramu wa Israel katika ardhi za Wapalestina unazozikalia kwa mabavu. Wanachama wa taasisi …
Utawala wa Kizayuni wa Israel umeendeleza jinai zake katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu kwa kuua vijana wengine watano wa Kipalestina.Mashirika ya habari yameripoti kuwa, vijana hao wa Kipalestina …
Serikali ya Eritrea imelaani kitendo cha mlowezi mmoja wa Kizayuni cha kumpiga risasi na kumuua raia wa Eritrea huko kusini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu. Mtandao wa habari wa al …
Mwakilishi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa amelitaka Baraza la Usalama la Umoja huo litekeleze wajibu na majukumu yake kwa kukomesha mashambulio ya askari wa utawala wa Kizayuni dhidi ya …
Vyombo vya usalama vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimemtia mbaroni kiongozi mmoja mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Palestina Hamas. Askari wa utawala huo ghasibu walivamia makazi ya Hassan …
Jumatatu, 19 Oktoba 2015 19:43

Israel yaua shahidi Wapalestina 46 mwezi huu

Jeshi la Israel limewaua shahidi Wapalestina wapatao 46 tangu kuanza Intifadha au mwamko mpya mapema mwezi huu wa Oktoba. Kwa mujibu wa Wizara ya Afya ya Palestina, Wapalestina hao wameuawa …
Saeb Erakat, Katibu Mkuu wa Kamati ya Utendaji ya Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) amesema kuwa, mwamko wa Wapalestina ni natija ya kuendelea kwa jinai za utawala wa Kizayuni, …
Polisi wa utawala wa Kizayuni Israel amemuuwa kimakosa Mzayuni mmoja kwa kumdhania kuwa ni Mpalestina. Polisi huyo wa utawala wa Kizayuni jana alimuuwa kwa kummininia risasi kijana mmoja Mzayuni katika …
Kijana mwingine wa Kipalestina ameuawa shahidi baada ya vikosi vya utawala haramu wa Israel kuwafyatulia risasi raia katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan huko Palestina.  Kanali ya …
Jumapili, 18 Oktoba 2015 09:35

Waandamana Tunisia kuunga mkono Wapalestina

Wananchi wa Tunisia wamefanya maandamano kuwaunga mkono wananchi madhlumu wa Palestina na kulaani jinai za utawala haramu wa Kizayuni wa Israel. Maandamano hayo yamefanyika Tunis, mji mkuu wa nchi hiyo …
Jumamosi, 17 Oktoba 2015 07:14

Israel itasambaratika muda sio mrefu: Hania

Naibu Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza juu ya kuendelezwa muqawama na Intifadha dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel. Ismail …
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema wanaunga mkono kikamilifu Intifadha ya taifa la Palestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na Quds Tukufu. Sayyid Hassan Narullah …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …