Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Osama Hamdan, Mkuu wa uhusiano wa kimataifa wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuna udharura wa kuzidishwa uungaji mkono wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa …
Leo kumefanyika maadhimisho ya kukumbuka kushindwa vibaya jeshi la Marekani katika jangwa la Tabas, mashariki mwa Iran.
Idadi ya watoto wadogo wa Kipalestina wanaozuiliwa katika jela za kutisha za utawala wa kizayuni wa Israel imeongezeka kwa kiwango kikubwa tangu Oktoba mwaka uliopita wa 2015.
Ijumaa, 22 Aprili 2016 09:08

Wazayuni watumia vibaya mgogoro wa Syria

Licha ya Saudi Arabia kuwa na mielekeo inayofanana na utawala wa Kizayuni katika baadhi ya mambo, lakini mwakilishi wa Saudia katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu amesema kuwa, utawala wa …
Makundi ya mapambano ya Palestina yametoa wito wa kushadidishwa Intifadha ya Quds dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
Rais wa Russia Vladimir Putin amesema nchi yake itasaidia juhudi za Palestina za kuupatia ufumbuzi mgogoro kati yake na utawala wa kizayuni wa Israel kwa njia ya mazungumzo.
Habari kutoka Palestina inayokaliwa kwa mabavu zinasema kuwa, Wazayuni karibu 20 wamejeruhiwa katika mripuko wa bomu katika basi moja huko Quds.
Mamia ya wananchi wa Palestina jana Jumapili walifanya maandamano katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na Ukanda wa Gaza katika maadhimisho ya Siku ya Wafungwa wa Kipalestina.
Mwakilishi wa kudumu wa Palestina katika Umoja wa Mataifa amelitaka Baraza la Usalama la umoja huo kutekeleza majukumu yake na kuzuia ujenzi wa vitongoji zaidi vya walowezi wa Kizayuni unaofanywa …
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imeiomba Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) ilisaidie taifa la Palestina katika kukabiliana na uvamizi na ukaliaji wa mabavu wa utawala wa …
Jumapili, 10 Aprili 2016 19:42

Intifadha ya Quds yamtia kiwewe Netanyahu

Waziri Mkuu wa Utawala Haramu wa Israel ameshindwa kuficha wasiwasi wake kutokana na Wapalestina kuendeleza Intifadha ya Quds dhidi ya utawala wa Kizayuni
Viongozi waandamizi wa utawala ghasibu wa Kizayuni wa Israel wamezidi kuonesha ukatili wao baada ya kushindwa kukabiliana na Intifadha ya Quds. Katika tukio la karibuni kabisa, kuhani mmoja mwandamiza wa …
Wapalestina leo wamekumbuka mwaka wa 68 wa mauaji ya raia 270 wa Kipalestina mikononi mwa kundi la kigaidi la Wazayuni kwenye mji wa Deir Yassin katika Ukingo wa Magharibi wa …
Utawala wa Kizayuni wa Israel una mpango wa kuwahamishia huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu mamia ya Mayahudi wa Ethiopia.
Walowezi wa Kizayuni wasiopungua 1,000 waliokuwa wakisindikizwa na askari wa utawala haramu wa Israel wamevamia na kulivunjia heshima kaburi la Nabii Yusuf (AS), ziara linaloheshimiwa na Wayahudi, Wakristo na Waislamu.
Jumatano, 06 Aprili 2016 11:59

Hamas yaonya kuhusu hali mbaya Ghaza

Afisa mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu Palestina, Hamas, ameonya kuhusu maafa ya kibinadamu katika Ukanda wa Ghaza kutokana na mzingiro wa kinyama wa utawala haramu wa Israel katika …
Askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewatia nguvuni watoto 1,899 wa Kipalestina tangu ilipoanza Intifadha ya Quds hadi sasa.
Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, mapambano ndio njia pekee ya kuwakomboa mateka wa Kipalestina walioko katika jela za utawala wa Kizayuni wa …
Wizara ya Wakfu ya Palestina imetangaza kuwa, mwezi uliopita wa Machi, wanajeshi wa utawala wa Kizayuni walizuia mara chungu nzima kusomwa adhana katika Haram ya Nabii Ibrahim AS mjini Alkhalil.
Brigedi za Izzuddin Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS zimesema kuwa, hakuna mazungumzo yoyote yaliyofanyika kuhusiana na kuachiliwa huru wanajeshi wanne wa Israel …
Page 1 of 64

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …