Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Alkhamisi, 15 Mei 2014 09:56

Operesheni ya kuokoa wasichana Nigeria yaanza

Operesheni ya kuokoa wasichana Nigeria yaanza

Serikali ya Nigeria imethibitisha habari za kuanza operesheni ya kijeshi inayosaidiwa na vikosi vya kimataifa kwa ajili ya kuwatafuta na kuwaokoa zaidi ya wasichana 200 wa shule waliotekwa nyara na kundi la Boko Haram. 

Habari zinasema kuwa jeshi la Nigeria linasaidiwa na askari maalumu wa Canada, timu ya wataalamu wa kijeshi wa Marekani, Uingereza, Ufaransa n.k, kwenye operesheni hiyo.

Maafisa wa Pentagon wamearifu kuwa, Marekani inatumia ndege  za kijasusi zisizo na rubani  na vifaa vinginevyo vya kijeshi katika operesheni hiyo ya kuwatafuta wasichana wa Nigeria waliotekwa nyara.

Hayo yanajiri huku Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika, Mark Simmonds akiarifu kwamba, Rais Goodluk Jonathan wa Nigeria amesema wazi kuwa hawatazungumza na kundi la Boko Haram kuhusiana na kubadilishana wafungwa na wasichana hao waliotekwa nyara.

Andika maoni


Msimbo salama (Security code)
Upyesha (Refresh)

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …