Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Mkuu wa Vyombo vya Mahakama nchini Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haifuati siasa za madola ya Magharibi hususan Marekani.
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika mazungumzo yake kwa njia ya simu na Rais Vladimir Putin wa Russia juu ya udharura wa wananchi wa Syria …
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mkono wa pole kwa serikali na taifa la Pakistan kufuatia kuuawa makumi ya wananchi wa nchi hiyo katika shambulio la …
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani hujuma za hivi karibuni za kigaidi katika mji wa Lahore Pakistan na karibu na Baghdad mji mkuu wa Iraq.
Jumatatu, 28 Machi 2016 11:39

Ugaidi hauna mustakabali Mashariki ya Kati

Afisa mwandamizi wa Iran amepongeza ushindi wa hivi karibuni wa jeshi la Syria dhidi ya magaidi wa ISIS (Daesh) katika mji wa Kihistoria wa Palmyra na kusema makundi ya kigaidi …
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa kati ya Iran na kundi la 5+1 ni tukio litakalosalia katika historia ya Iran na dunia.
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema azma ya serikali ni kuharakisha mwenendo wa utekelezaji Uchumi wa Muqawama.
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Iran iko tayari kuimarisha uhusiano wake na Pakistan katika nyuga zote.
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametaka kulindwa umoja baina ya nchi za Kiislamu kwa lengo la kutatua matatizo ya ulimwengu wa Kiislamu.
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza umuhimu wa kuimarishwa ushirikiano kati ya Tehran na Islamabad katika nyuga mbalimbali hususan katika vita dhidi ya ugaidi.
Rais Hassan Rouhani wa Iran na Nawaz Shariff Waziri Mkuu wa Pakistan wamekutana na kufanya mazungumzo na kujadili uimarishwaji uhusiano wa pande mbili hasa wa kiuchumi, masuala ya kieneo na …
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran amesistiza kuwa taifa la Iran halitosalimu amri mbele ya matakwa ya madola ya kibeberu.
Spika wa Majilisi ya ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran amelaani mashambulizi ya kigaidi ya juzi katika mji mkuu wa Ubelgiji, Brussels, ambapo watu zaidi ya 30 waliuawa.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzo kwa simu na mwenzake wa Ubelgiji akilaani vikali mashambulizi ya kigaidi yaliyotokea jana katika mji mkuu wa nchi …
Sherehe za kuadhimisha siku kuu ya Nairuzi (Nowruz) zimefanyika katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa na kuhudhuriwa na Katibu Mkuu wa umoja huo.
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa serikali yake itatekeleza sera za Uchumi wa Muqawama.
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amempa mkono wa kheri na fanaka Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa kuwadia mwaka mpya wa 1395 Hijria Shamsia.
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuhusu kuendelea uadui wa Marekani na taifa la Iran na kusema kuwa, 'Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitalegeza msimamo kuhusu misimamo yake ya …
Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema nchi hii inalenga kuwa na ustawi wa kiuchumi wa asilimia tano katika mwaka mpya wa Kiirani ulioanza Machi 20.
Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uturuki wamekutana na kufanya mazungumzo mjini Istanbul na kujadili masuala ya uhusiano wa pande mbili, kieneo na kimataifa.

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …