Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Ayatullah Naser Makarem Shirazi, mmoja wa Marjaa Taqlidi wa mjini Qum nchini Iran amesema kuwa, utawala wa Saudia ni mwanasesere wa Marekani na madola ya Magharibi na ndio chimbuko la …
Balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amebainisha wasiwasi wake kuhusu mchakato wa kuangamiza silaha za nyuklia duniani.
Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC amesema jeshi hilo pamoja na vikosi vyote vya kimapinduzi viko tayari kukabiliana kwa nguvu na maadui.
Waziri wa Mambo ya Nje Muhammad Javad Zarif amesema Iran iko tayari kusaidia kurejesha utulivu katika eneo la Nagorno-Karabakh ambalo katika siku za karibuni limekuwa uwanja wa mapigano makali kati …
Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu wa Iran ameonya kuwa shambulizi lolote la kigaidi dhidi ya taifa hili litapokea jibu kali.
Mkuu wa Vyombo vya Mahakama nchini Iran amesisitiza juu ya udharura wa kuimarishwa uwezo wa makombora wa taifa hili.
Hifadhi ya mafuta ghafi ya petroli ya Iran katika Ghuba ya Uajemi imefikia mapipa bilioni 100.
Vikosi vya usalama Iran vimesambaratisha kijikundi cha kigaidi kusini mashariki mwa nchi katika mkoa wa Sistan na Baluchestan.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, suala la makombora ni suala la ulinzi na usalama wa taifa zima la Iran hivyo Jamhuri …
Jumapili, 03 Aprili 2016 06:50

'Uzalishaji wa mafuta wa Iran hautasimama'

Waziri wa Mafuta wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran itaendelea kuongeza uzalishaji na usafirishaji wa mafuta hadi kufikia kiwango chake cha kabla ya kuwekewa vikwazo.
Khatibu wa sala ya Ijumaa ya leo ya hapa mjini Tehran, Hujjatul Islam Wal Muslimin Kadhim Siddiqi, amesema kuwa, kupanua uhusiano na nchi zote za dunia, ni miongoni mwa vipaumbele …
Katibu Mkuu wa zamani wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) amesema haipasi nchi za Kiarabu kuiona Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa adui yao.
Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limetangaza kuwa tarehe 12 mwezi Farvardin kuwa ni siku ya kudhihirisha uongozi mkuu, kupenda uadilifu na ukombozi.
Iran leo inaadhimisha Siku ya Jamhuri. Siku kama ya miaka 37 iliyopita, wananchi wa taifa hili waliuchagua mfumo wanaotaka utawale hapa nchini kupitia kura ya maoni ya ushindi wa Mapinduzi …
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa nchi yake inapinga hatua yoyote ya kuweka vikwazo dhidi ya Iran kwa sababu Tehran haijakiuka azimio lolote kwa kufanya majaribio …
Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada amesema kuwa, uamuzi wa nchi yake wa kukata uhusiano na Iran haukuwa na matunda mazuri hata kidogo.
Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii itakayoangazia kwa kifupi maingiliano baina ya Iran na Marekani katika mwaka uliopita wa 1394 Hijria Shamsia.
Imeelezwa kuwa ziara ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itafanyika katika muda muafaka kufuatia kufikiwa makubaliano kati ya pande mbili na ili kuwezesha kufanyika uratibu zaidi.
Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran amesema ukosefu wa usalama na wimbi la mashambulio ya kigaidi katika Ulimwengu wa Kiislamu vinafanywa na wale wanaotumikia maslahi …
Rais Heinz Fischer wa Austria amesema, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni nchi kubwa katika eneo lenye mivutano la Mashariki ya Kati.

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …