Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Waziri Mkuu wa Italia ametilia mkazo kutekelezwa makubaliano yaliyosianiwa kati ya nchi yake na Iran.
Naibu wa Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (SEPAH) amesema kuwa, jambo la kwanza la lazima kwa ajili ya ustawi na maendeleo ya kila nchi …
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hii leo anatazamiwa kuelekea mjini Istanbul nchini Uturuki kushiriki Kongamano la 13 la Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC).
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (IRGC) linaendelea na mazoezi makubwa ya kijeshi katika eneo la kusini mashariki mwa nchi.
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema misaada ya silaha na kifedha inayotoa Marekani kwa makundi ya kigidi ni moja ya vizuizi katika utatuzi wa tatizo la ugaidi.
Rais Hassan Rouhani amesema kuwa Iran inataka kuona uhusiano wa kibiashara na Italia unafika kiwango kilichokuwepo kabla ya nchi hii kuwekewa vikwazo vya nyuklia.
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amempokea rasmi Waziri Mkuu wa Italia Matteo Renzi,
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayeshughulikia masuala ya Kiarabu na Kiafrika amesema kuwa, wananchi wa Syria wana haki ya kujianishia mustakbali wa nchi yao bila ya kuingiliwa …
Jumatatu, 11 Aprili 2016 18:03

Wanachama wa Daesh walishindwa kuingia Iran

Kamanda wa Jeshi la Nchi Kavu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mwezi mmoja uliopita, wanachama wa kundi la kigaidi la Daesh walijaribu kupenya ili waingie Iran lakini …
Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Kazakhstan wamesisitiza juu ya udharura wa kuimarisha uhusiano kati ya nchi zao katika nyanja mbalimbali za kiuchumi, kisiasa na kadhalika.
Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesema Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani hana hadhi wala itibari ya kuzungumza chochote kuhusu uwezo wa …
Rais Hassan Rouhani wa Iran kwa mara nyingine tena ametoa wito wa kuchukuliwa hatua za pamoja kukabiliana na makundi ya kigaidi.
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema katu Jamhuri ya Kiislamu haiwezi kufanya aina yoyote ya mazungumzo kuhusu uwezo wake wa makombora.
Waziri wa Ulinzi wa Iran Brigedia Jenerali Hussein Dehqan amemtaka Waziri wa Mambo ya Nje ya wa Marekani John Kerry kutafakari kabla ya kutamka maneneo ya “kipuuzi” kuhusu masuala ya …
Naibu Kamanda wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, vikosi vya Iran vikiwa na lengo la kujiimarisha kiuwezo na kuwa na maandalizi kamili halihitajii idhini au ruhusa …
Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, kupatikana uchumi wa kimuqawama kwa ajili ya maendeleo na ustawi wa Iran kunahitajia msaada wa wote na uchukuaji …
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani John Kerry, ameomba msaada wa Iran ili kuhatimisha vita katika nchi za Syria na Yemen.
Rais Vladimir Putin wa Russia ametoa amri ya kuondolewa vikwazo vya kibenki dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Hayo yamethibitishwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey …
Rais Hassan Rouhani wa jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa walimwengu na jumuiya za kimataifa zimetambua rasmi haki za Iran katika uwanja wa nyuklia.
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Marekani na baadhi ya nchi za Magharibi si za kuaminika.

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …