Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumatatu, 06 Agosti 2012 14:42

Wanaharakati walaani kutekwa nyara Wairani

Kundi moja la wanaharakati wanaofanya kazi katika taasisi zisizo za kiserikali huko Libya wamefanya maandamano katika mji wa Benghazi kaskazini mashariki mwa nchi hiyo kulaani kitendo cha kutekwa nyara wafanyakazi …
Jumamosi, 04 Agosti 2012 18:41

Iran yafanyia majaribio kombora lake jipya

Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mapema leo limefanyia majaribio kombora lake jipya la ardhi kwa ardhi ambalo limeundwa na wataalamu wa hapa nchini. Waziri wa Ulinzi wa Iran, …
Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa, mazungumzo ya Iran na kundi la 5+1 yatafanyika kabla ya kumalizika mwezi huu wa Agosti. Bi Catherine Ashton amesema …
Alkhamisi, 02 Agosti 2012 16:09

AI: Wairan waliotekwa Libya waachwe huru

Shirika la Msamaha Duniani Amnesty International limetaka kuachiliwa huru, haraka na bila masharti wafanyakazi 7 wa Shirika la Utoaji Misaada la Iran la Hilali Nyekundu (IRCS) waliotekwa nyara katika mji …
Alkhamisi, 02 Agosti 2012 09:42

Ahmadinejad: Maadui wanataka kuwagawa Waislamu

Rais Mahmoud Ahmadinejad wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa maadui wa umma wa Kiislamu wanafanya mikakati ya kuanzisha migawanyiko na hitilafu za kikaumu na kimadhehebu katika umma wa …
Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Leon Panetta amesema ziara yake katika utawala haramu wa Israel haina lengo la kujadili masuala ya Iran. Panetta ambaye hapo jana alikuwa Misri alilipongeza Baraza …
Rais Ahmadinejad wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa hakuna nchi inayoweza kusimamisha harakati ya maendeleo ya taifa la Iran katika nyanja za sayansi na teknolojia. Rais Ahmadinejad ameyasema …
Mkuu wa vikosi vya majeshi ya Israel amesema kuwa makombora ya Iran yataisambaratisha Israel. Benny Gantz Mkuu wa vikosi vya majeshi ya utawala wa Kizayuni amepinga uwezekano wa kufanyika mashambulizi …
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran Mohammad Reza Rahimi amemtumia salamu za rambi rambi rais wa Zanzibar Ali Mohammad Shein kufuatia ajali ya meli hivi karibuni Zanzibar. Katika ujumbe …
Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amelaani mauaji ya Waislamu madhulumu wa Myanmar na kimya cha jamii ya kimataifa kuhusiana na mauaji hayo. Ayatullah Muhammad Imami Kashani …
Page 109 of 109

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …