Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, ana matumaini matamshi ya John Kerry, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani yataondoa wasiwasi uliopo kuhusu miamala ya kibenki baina …
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran amesema, hukumu ya Mahakama Kuu ya Marekani dhidi ya mali za Iran ni kinyume cha sheria za kimataifa.
Kamanda wa Jeshi la Nchi Kavu la Iran amesema chokochoko zozote dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu zitapata jibu kali na kwamba vikosi vya ardhini vya Iran vitawaadhibu vikali wavamizi.
Kampeni za duru ya pili ya uchaguzi wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran itakayofanyika Aprili 29, zimeanza rasmi hii leo Alkhamisi.
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, ili kukabiliana na vita laini vya kambi ya Uistikbari kuna haja ya kuwandaa na kuwalea vijana wanamapinduzi na wenye azma na irada …
Jumatano, 20 Aprili 2016 08:09

Zarif na Kerry wajadili utekelezaji wa JCPOA

Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Marekani wamekutana na kuzungumzia njia za kuhakikisha makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa baina ya Jamhuri ya Kiislamu na madola sita makubwa duniani yanatekelezwa …
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, mfumo wa kambi moja wa Marekani umefeli katika kuendesha masuala ya dunia na kwamba sasa ugaidi unatumiwa na …
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa kubwa la Iran limesambaratisha njama za madola makubwa na Wazayuni za kueneza chuki dhidi ya Uislamu na chuki dhidi …
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran leo asbuhi ameelekea mjini New York Marekani kwa ajili ya kushiriki katika sherehe za kutiwa saini makubaliano ya Mabadiliko ya Tabia- Nchi katika …
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kuimarishwa uhusiano kati ya Iran na India ni kwa maslahi ya usalama na ustawi wa kiuchumi wa eneo.
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuenea jinai na ugaidi ni katika changamoto kuu zinaolikabili eneola Mashariki ya Kati na dunia nzima kwa ujumla na hivyo kuna haja …
Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa maagizo mapya ya kiutekelezaji kwa ajili ya kushirikiana benki za Ulaya na Iran yameandaliwa na kwamba hakuna kizuizi chochote …
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, nguvu na uwezo wa Iran hauko dhidi ya majirani na nchi za ulimwengu wa Kiislamu.
Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema ugaidi na Uzayuni ni tishio kubwa zaidi kwa ulimwengu wa Kiislamu.
Jumamosi, 16 Aprili 2016 12:00

Mkuu wa Sera za Nje wa EU awasili Tehran

Federica Mogherini, Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya amewasili hapa mjini Tehran akiandamana na ujumbe wa ngazi za juu wa wanasiasa, wawekezaji na wafanyabiashara wa Ulaya katika …
Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran, Ayatullah Ahmad Jannati amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kamwe haitokubali masharti ya Marekani ya kutaka ijisalimishe kwake.
Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ametoa jibu kali kwa matamshi yasiyo na msingi ya mabalozi wa Utawala wa Kizayuni wa Israel na Saudia dhidi …
Rais Hassan Rouhani amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Azerbaijan, Afghanistan, Algeria, Oman na Indonesia pembeni ya kikao cha 13 cha viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano …
Kupokonywa silaha za nyuklia Marekani na nchi nyingine zinazomiliki sialha hizo ni takwa na hitajio kuu la fikra za waliowengi ulimwenguni.
Kamanda wa Jeshi la Nchi Kavu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, baadhi ya tawala za kidikteta katika Mashariki ya Kati ukiwemo utawala wa Saudi Arabia zinapanga kupeleka …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …