Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Iran iinalipa umuhimu wa aina yake suala la ushirikiano na nchi za Kiafrika.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema vituo vya uwakilishi wa Wizara ya Mambo ya Nje katika mikoa na viwanja vya ndege vinatoa viza …
Jumapili, 14 Februari 2016 05:21

Rais wa Ghana awasili Iran

Rais John Dramani Mahama wa Ghana amewasili Tehran kwa ziara rasmi ambapo anatazamiwa kufanya mazungumzo na viongozi wa ngazi za juu nchini.
Jumamosi, 13 Februari 2016 18:48

Mwalimu Muirani auawa nchini Ujerumani

Vyombo vya habari vya Ujerumani vimetangaza kuwa mwalimu mmoja Muirani ameuawa katika mazingira ya kutatanisha katika mji wa Celle nchini humo.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran akiwa mjini Munich amefanya mazungumzo na maafisa wa ngazi za juu kimataifa kuhusu matukio ya kieneo na dunia.
Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amewashukuru wananchi wa Iran kwa kujitokeza kwa wingi katika maandamano ya 22 Bahman (11 Februari) kwa mnasaba wa kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya …
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ni chimbuko na sababu ya amani na uthabiti katika eneo la Mashariki ya Kati.
Madhimisho ya mamilioni ya watu ya miaka 37 ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, yamefanyika leo kwa kufana mto mjini Tehran na katika zaidi ya miji 1000, mikoa, wilaya na …
Mamilioni ya wananchi wa Iran leo wamemiminika mabarabarani katika miji mbalimbali ukiwemo mji mkuu Tehran, kushiriki maandamano ya kuadhimisha miaka 37 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kushindwa kwa mpango wa kueneza hofu kuhusu Iran kote ulimwenguni ndiyo matunda makubwa zaidi ya makubaliano ya nyuklia kati …
Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yamepelekea kuwepo mwamko wa Kiislamu miongoni mwa watu wengi Afrika na hivyo kuwawezesha kuondoka katika mkwamo.
Jumatano, 10 Februari 2016 18:52

161 kugombea viti vya Baraza la Wataalamu Iran

Idara Kuu ya Usimamizi wa uchaguzi wa Iran imesema wagombea 161 wameidhinishwa na Baraza la Walinzi wa Katiba kuwania viti katika uchaguzi wa Baraza la Wanazuoni Wataalamu Wanaomchagua Kiongozi Muadhamu.
Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuwa kazi ya kutokomeza na kung'oa mizizi ya makundi ya kigaidi kama Daesh inahitajia mpambano wa kifikra na kiutamaduni …
Rais Hassan Rohani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema leo kuwa, makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa kati ya nchi hii na madola makubwa duniani yalikuwa kwa manufaa ya pande zote …
Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Meja Jenerali Hassan Firouzabadi amesema kuwa, viongozi wa Marekani na wale wa utawala wa Saudi Arabia wa Aal Saud …
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amempa nishani ya heshima Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran na amewapa nishani za ushujaa Waziri wa Ulinzi na Mkuu …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amezitaja sherehe za Bahman 22 (Februari 11) za maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na uchaguzi unaotarajiwa kufanyika tarehe 26 mwezi …
Jumatatu, 08 Februari 2016 05:19

Iran yaitaka Marekani iache kuunga mkono ugaidi

Mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema ni lazima Marekani iache kuunga mkono nchi za kigaidi katika Mashariki ya Kati ili kupatikane ufumbuzi katika eneo hilo.
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Umoja wa Ulaya leo Jumatatu zinatazamiwa kuanza duru mpya ya mazungumzo, ikiwa ni ya kwanza tangu Tehran na kundi la 5+1 kufikia makubaliano ya …
Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (SEPAH) amesema habari ya uwezekano wa Saudi Arabia kutuma majeshi ya nchi kavu nchini Syria ni kichekesho na utani …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …