Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amelishauri Bunge la Seneti la nchi hiyo lisipitisha vikwazo vipya dhidi ya Iran na badala yake kutoa fursa kwa utekelezwaji wa makubaliano ya …
Mchambuzi mwandamizi wa masuala ya kisiasa amesema uchaguzi wa Iran ni muhimu katika eneo
Rais Hassan Rouhani amesema uchaguzi ni miongoni mwa mambo ya kujivunia kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ni nchi huru isiyohitaji ushauri wa nchi za kigeni juu ya uchaguzi wa Bunge na Baraza la …
Jumatatu, 22 Februari 2016 20:05

Marais wa nchi tatu kuitembelea Iran

Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Marais watatu wa Afrika Kusini, Azerbaijan na Switzerland wanatarajiwa kuitembelea Iran katika siku chache zijazo …
Jumatatu, 22 Februari 2016 11:22

Rais Jacob Zuma kutembelea Iran karibuni hivi

Mtandao mmoja wa habari wa Afrika Kusini umesema kuwa, Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo anatarajiwa kutembelea Iran mwishoni mwa mwezi huu wa Februari.
Mwakilishi wa Jumuiya ya Mayahudi wa Isfahan magharibi mwa Iran amesema kuwa, kupewa nafasi wafuasi wa dini zote za tawhidi katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ni …
Jumapili, 21 Februari 2016 19:32

Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman aonana Rouhani

Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kwamba, kuna wajibu wa kuimarishwa ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara wa Iran na Oman na kuufikisha kwenye daraja ya uhusiano …
Jumapili, 21 Februari 2016 06:16

Iran iko tayari kwa ajili ya uchaguzi

Waziri wa Mambo ya Ndani Iran amesema mipango imekamilika kwa ajili ya uchaguzi wa Bunge na Baraza la Wataalamu wiki hii.
Jumamosi, 20 Februari 2016 17:44

Zarif: Uhusiano wa Iran na Oman unazidi kustawi

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu na Oman unaendelea kustawi katika nyanja zote.
Khatibu wa sala ya leo ya Ijumaa ya hapa mjini Tehran, Hujjatul Islam Wal Muslimin Kadhim Siddiqi, amesema kuwa, uelewa wa wananchi wa Iran umekuwa na nafasi kubwa katika kuwafanya …
Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran Mohammad Javad Zarif anasema washauri wa kijeshi wa Iran wako Syria kufuatia ombi la serikali ya nchi hiyo ya Kiarabu.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema anataraji kuwa uhusiano wa kiuchumi kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Ubelgiji utaongezeka haraka katika kipindi hiki kipya.
Dakta Ali Akbar Velayati, Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndiye mbeba bendera wa Uislamu na Waislamu …
Jumanne, 16 Februari 2016 07:09

Balozi wa Iran UN ayakosoa madola makubwa

Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema madola makubwa yanakiuka haki za nchi zinazoendelea kutokana na mtazamo wao wa kujifanyia mambo yatakavyo na wa upande …
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa ana matumaini kwamba, nchi za Kiislamu zitafikia maelewano kwa ajili ya kulipa umuhimu mkubwa zaidi suala asili la ulimwengu …
Jumatatu, 15 Februari 2016 11:19

Rais Mahama wa Ghana azipongeza siasa za Iran

Rais John Dramani Mahama wa Ghana amezipongeza sera za kigeni za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwani zimesimama juu ya msingi wa kuheshimu haki ya wananchi kujiainishia mustakbali wao
Mohammad Hussein Muqimi Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Iran ametangaza kuwa, raia milioni 54, laki tisa na elfu kumi na tano na ishirini na nne wametimisha masharti ya kupiga …
Jumapili, 14 Februari 2016 21:29

Kiongozi Muadhamu azungumza na Rais wa Ghana

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, siasa thabiti za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kadhia ya Syria ni kuunga mkono amani.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuwatetea na kuwaunga mkono wananchi wa Palestina ni jukumu la kidini.

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …