Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Alkhamisi, 03 Machi 2016 18:00

Iran yapinga vikali taarifa ya PGCC

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali taarifa iliyotolewa na Baraza la Ushirikiano wa Ghuba ya Uajemi inaliyoitambua harakatri ya Hizbullah ya …
Manowari ndogo kadhaa za jeshi la wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zilizobeba ujumbe wa amani na urafiki zimetia nanga katika bandari ya mji mkuu wa Tanzania, Dar es …
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iran amesema: wagombea 140 watachuana katika duru ya pili ya kuwania viti 70 vya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, bunge la Iran.
Mkuu wa Vyombo vya Mahakama nchini Iran amesema kujitokeza kwa wingi wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu katika uchaguzi wa Ijumaa iliyopita ni ithibati tosha kuwa taifa la Iran linatii miito …
Spika wa Bunge la Iran amesema kuwa mahudhurio makubwa ya wananchi wa Iran katika uchaguzi uliofanyika Ijumaa iliyopita hapa nchini yamezidisha hadhi ya Iran katika nyanja za kimataifa.
Jumatatu, 29 Februari 2016 06:05

Maziko ya mtegeneza filamu mashuhuri wa Iran

Maziko ya mtengeneza filamu mashuhuri wa Iran, Farajullah Salahshur yalifanyika jana Jumapili kwa kushiriki idadi kubwa ya wapenzi wa tasnia ya filamu hapa nchini.
Kiongozi Muadhamu wa Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amelipongeza taifa la Iran kwa kushiriki kwa wingi katika chaguzi mbili za siku ya Ijumaa.
Mkuu wa Tume ya Uchaguzi ya Iran amesema kuwa, hadi hivi sasa hakuna matokeo yoyote ya uchaguzi wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) na wa Baraza la …
Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran amesema moja ya sera za Jamhuri ya Kiislamu ni kuona umoja na mshikamano wa kiistratajia katika ulimwengu wa Kiislamu …
Jumamosi, 27 Februari 2016 20:24

Iran, Uswisi zasaini mapatano ya ushirikiano

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uswisi zimeafikiana kuhusu ramani ya njia ya uhusiano wa muda mrefu.
Zoezi la kuhesabu kura za chaguzi za Bunge na Baraza la Wanazuoni Wataalamu Wanaomchagua Kiongozi Muiadhamu zilizofanyika jana linaendelea huku matokeo yakianza kutolewa katika baadhi ya maeneo.
Jumamosi, 27 Februari 2016 10:57

Rais wa Uswisi apokewa rasmi na Rais Rouhani

Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amempokea rasmi asubuhi ya leo Rais Johann Schneider-Ammann wa Uswisi katika jengo la kiutamaduni na kihistoria la Ikulu ya Sa'ad Abad …
Rais Johann Schneider-Ammann wa Uswisi amewasili nchini huku akiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa nchi yake kwa lengo la kukutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Jamhuri ya Kiislamu …
Jumamosi, 27 Februari 2016 06:26

Shughuli ya kuhesabu kura Iran imeanza

Kazi ya kuhesabu kura imeanza nchini Iran baada ya kumalizika kwa hatua ya kwanza ya kupiga kura iliyoshuhudiwa nchi nzima hapo jana katika duru ya 10 ya uchaguzi wa Majlisi …
Mamillioni ya wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wamejitokeza kupiga kura katika chaguzi mbili muhimu Ijumaa hii.
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran amesema kujitokeza kwa wingi Wairani katika chaguzi mbili za leo ni ishara ya kuwa hai na kuwa na ufahamu na uelewa taifa la Iran.
Duru ya kumi ya uchaguzi wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge) na ya tano ya Baraza la Wanazuoni Wanaomchagua Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu zinaendelea kufanyika huku wananchi …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza juu ya wananchi kushiriki kwa wingi katika uchaguzi wa leo wa Bunge na Baraza la Wanazuoni Wataalamu lilalomchagua Kiongozi Mkuu wa Iran.
Ijumaa, 26 Februari 2016 05:19

Uchaguzi wa Bunge kuanza leo nchini Iran

Mkuu wa Tume ya Uchaguzi ya Iran amesema kuwa maandalizi na taratibu zote za uchaguzi wa kumi wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge) na wa tano Baraza la Wataalamu …
Alkhamisi, 25 Februari 2016 18:59

"Uchaguzi wa Iran, nembo ya utawala wa kidini"

Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kushiriki kwa wingi wananchi katika uchaguzi ni nembo ya kuthibiti utawala wa kidini unaotokana na …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …