Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Khatibu wa sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran, Ayatullah Muhammad Emami Kashani amesema kuwa, mwamko wa siku zote wa wananchi katika nyanja mbalimbali na pia uwezo wa majeshi …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema, wananchi wa Iran wameonesha kivitendo imani yao kwa Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu kwa kushiriki kwa wingi katika uchaguzi …
Mwakilishi wa Iran katika Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) amesema vichwa vya silaha za nyuklia vinavyomilikiwa na utawala haramu wa Israel ni tishio kuu kwa amani na …
Ayatullah Naser Makarem Shirazi mmoja wa Marajii Taqlidi wa nchini Iran amesema kuwa, viongozi wa Kiarabu katu hawawezi kuficha mafanikio ya kujivunia ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah …
Meja Jenerali Mohammad Ali Jafari, Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC, amesema maeneo yote ya ardhi za Wapalestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa …
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu Iran IRGC linafanya awamu ya mwisho ya mazoezo makubwa ya makombora ya kijihami.
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu leo amepanda mche mmoja wa mti katika Wiki ya Maliasili nchini Iran.
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Singapore wamejadili na kubadilishana mawazo juu ya kustawisha uhusiano wa nchi mbili katika nyuga tofauti za kiuchumi na vilevile juu ya masuala …
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema "inaaibisha" nchi za Kiislamu kuwa na ukuruba na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) amesisitiza kuwa wakala huo haujashuhudia ukengeukaji wowote katika miradi ya nyuklia ya Iran.
Jumatatu, 07 Machi 2016 04:46

Iran yamhukumu kifo bilionea mfisadi

Bilionea wa Kiirani, Babak Zanjani ambaye alikuwa anakabiliwa na tuhuma za ufisadi wa kiuchumi amehukumiwa kifo.
Rais Hassan Rouhani amesema kwa mara nyingine tena kuwa wananchi wa Iran wamewastaajabisha walimwengu kutokana na namna walivyoshiriki kwa wingi katika uchaguzi wa Bunge na Baraza la Wanazuoni Wataalamu uliofanyika …
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema Saudi Arabia inalenga kuchochea ghasia na machafuko Mashariki ya Kati.
Kamanda mwandamizi wa kijeshi nchini Iran amesema waitifaki wa utawala haramu wa Israel ndio wallioitaja harakati ya muqawama ya Hizbullah kuwa kundi la kigaidi.
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Iran na Uturuki zinapaswa kuwa na ushirikiano, uratibu zaidi na kuelekeza nguvu zao katika vita dhidi ya ugaidi ukiwa …
Waziri Mkuu wa Uturuki Ahmet Davutoglu amesema Tehran na Ankara zinapaswa kuwa na ‘msimamo wa pamoja’ ili kumaliza migogoro katika eneo la Mashariki ya Kati.
Maelfu ya watu wa Iran leo wameshiriki katika mazishi ya Ayatullah Abbas Va’ez Tabasi, Mfawidhi wa Haram Takatifu ya Imam Ridha AS, katika mji wa Mash'had kaskazini mashariki mwa nchi.
Waziri Mkuu wa Uturuki aliyewasili hapa mjini Tehran jana usiku amepokewa rasmi na Makamu wa Kwanza wa Rais.
Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Kigeni ya Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, msimamo wa hivi karibuni wa Baraza la Ushirikiano la …
Khatibu wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran amesema kuwa, ushindi mkubwa wananchi katika uchaguzi wa wiki iliyopita Februari 26 ulikuwa ni ushindi kwa mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu na wananchi …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …