Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Muhammad Javad Zarif, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran ameelekea Uturuki hii leo ambapo atafanya mazungumzo na viongozi wa ngazi za juu wa serikali ya Ankara.
Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo ya mjini Tehran Ayatullah Muhammad Ali Movahedi-Kermani amesema kuna ulazima wa vikosi vya ulinzi kujizatiti kwa silaha za kisasa kwa ajili ya kukabiliana …
Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo ya mjini Tehran Ayatullah Muhammad Ali Movahedi-Kermani amesema kuna ulazima wa vikosi vya ulinzi kujizatiti kwa silaha za kisasa kwa ajili ya kukabiliana …
Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Ugiriki amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni nchi muhimu ambayo inafanya juhudi kubwa za kuimarisha amani na usalama katika eneo la Mashariki …
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani shambulio la kigaidi lililofanywa katika msikiti mmoja huko Nigeria.
Mkuu wa Baraza la Kiistratejia la Uhusiano wa Kigeni la Iran amesema kuwa kuudhoofisha muqawama wa Lebanon ni kutumikia maslahi ya utawala wa Kizayuni.
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mara nyingine imesisitiza umuhimu wa kuimarisha uhusiano wake na nchi za Afrika.
Ayatullah Akbar Hashemi Rafsanjani, Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu wa Iran amesema kuwa, nchi zilizoendelea zinashindana kwa ajili ya uwekezaji hapa nchini.
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa wito wa kushirikiana zaidi nchi zinazojitegemea duniani.
Jumanne, 15 Machi 2016 18:19

Chuo cha kidini Iran ni cha kimapinduzi

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: "Chuo cha kidini (Hawza) mjini Qum kinapaswa kubakia "Chuo cha Kimapinduzi na Chimbuko la Mapinduzi" na ili kufikia lengo hilo kuna haja …
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Muhammad Javad Zarif amesema ukurasa mpya umefunguliwa katika uhusiano wa Iran na Australia.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza katika radiamali yake kwa madai ya Magharibi dhidi ya majaribio ya makombora ya hivi karibuni kuwa shughuli za uundaji makombora ni moja …
Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Vietnam wametaka kuongezwa kiwango cha mabadilishano ya kibiashara na kiuchumi baina ya nchi mbili.
Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa hukumu iliyotolewa na mahakama ya Marekani dhidi ya Iran ni kichekesho, haina maana na inachezea shere vyombo vya mahakama …
Jumapili, 13 Machi 2016 20:03

Iran na New Zealand kustawisha ushirikiano

Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na New Zealand wamesisitizia umuhimu wa kuimarisha uhusiano wa pande mbili haswa katika uga wa kiuchumi.
Timu ya madaktari wa Iran wameelekea Iraq kuwasaidia waathirika wa hivi karibuni wa hujuma ya silaha za sumu zilizotumiwa na kundi la kigaidi la ISIS au Daesh katika mkoa wa …
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amempongeza Rais Yoweri Museveni wa Uganda kwa kuchaguliwa tena hivi karibuni kuiongoza nchi hiyo.
Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema umoja baina ya Shia na Suni una umuhimu mkubwa mno hususan katika hali na mazingira …
Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu haitoruhusu makundi ya kigaidi kushambulia Haram na matukufu mengine ya Kiislamu nchini Iraq na Syria huku akisisitiza kuwa, maeneo matakatifu ya …
Jumamosi, 12 Machi 2016 11:32

Kuimarishwa uhusiano wa Iran na Kodivaa

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa tayari kuimarisha uhusiano wake na Ivory Coast katika nyanja mbali mbali.

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …