Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeonya kuhusu kuenea ugaidi na misimamo mikali duniani na kusema jamii ya kimataifa inapasa kushirikiana kukabiliana na uovu huo.
Mkuu wa Tume ya Uchaguzi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Iran amesema kuwa, zoezi la kuhesabu kura za duru ya pili ya uchaguzi wa bunge nchini Iran limeanza.
Muda wa kupiga kura katika duru ya pili ya uchaguzi wa Baraza la Ushauri yaani bunge, uliofanyika leo umeongezwa hadi saa mbili usiku. Taarifa kutoka Tume ya Uchaguzi ya Wizara …
Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, hatua ya Marekani ya kutwaa dola bilioni mbili mali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ni wizi wa …
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemuandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na kueleza kuwa, hukumu za mahakama za ndani za Marekani dhidi …
Duru ya pili ya uchaguzi wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) imeanza kufanyika leo asubuhi hapa nchini.
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesisitiza kutekelezwa makubaliano ya nyuklia baina ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na nchi zinazounda kundi la 5+1 yanayojulikana kama …
Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, wananchi wa Syria tu ndio wanaopaswa kuainisha mustakbali wa nchi yao na kwamba, hakuna mtu kutoka …
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uamuzi wa Mahakama Kuu ya Marekani wa kuzuia dola bilioni mbili za Iran ni wizi wa wazi na fedheha ya kisheria …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, hatua ya Wamarekani ya kung'ang'ania kuiwekea vikwazo mbalimbali Iran ni njama za kueneza chuki na kulifanya taifa hili liogopwe na kwamba, kivitendo …
Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imemwita balozi wa Uswisi mjini Tehran katika kulaani uamuzi wa hivi karibuni wa mahakama kuu ya Marekani dhidi ya …
Hatua ya mahakama moja ya Marekani kutoa hukumu ya kuchukua udhibiti wa dola bilioni mbili za Iran zinazozuiliwa nchini humo ni sawa na uharamia.
Russia imetangaza kuwa inapania kununua maji mazito ya nyuklia ya Iran, siku chache baada ya Marekani kufanya muamala na Jamhuri ya Kiislamu juu ya bidhaa hiyo.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hatima ya kushiriki au kutoshiriki Wairani katika ibada ya Hija mwaka huu itategemea maamuzi ya …
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kutoutambua utawala wa Kizayuni wa Israel ni katika misingi thabiti na isiyobadilika ya siasa za …
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje anayehusika na masuala ya kisheria na ya kimataifa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya udharura wa kuendelea Iran kupambana na siasa …
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anayeshughulikia masuala ya wanawake Bi. Shahindokht Molaverdi amesema, Iran na Afrika Kusini zitashirikiana katika kuinua hadhi ya wanawake.
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema watu wa Iran walisimama bega kwa bega na kuwaunga mkono wazalendo wa Afrika Kusini wakati wakipambana na utawala wa makaburu …
Rais Hassan Rouhani amesema mchango wa dini una taathira katika kukuza utamaduni wa kutunza na kuhifadhi mazingira katika jamii za wanadamu.
Waziri wa Uchumi na Hazina wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kumeandaliwa mazingira mazuri kwa ajili ya kustawishwa uhusiano kati ya Iran na Afrika Kusini katika nyanja mbalimbali.
Page 1 of 109

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …