Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Kundi la kutetea haki za binadamu la nchini Uingereza (Cage) limesema kuwa shirika la ujasusi la nchi hiyo la M15 linapaswa kuulizwa na kulaumiwa kutokana na misimamo ya kufurutu ada …
Alkhamisi, 26 Februari 2015 19:34

Gaidi wa Daesh mkataji vichwa vya watu atambuliwa

Hatimaye utambulisho wa gaidi hatari wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh ambaye amekuwa akiwaua mateka kwa kuwakata vichwa huko nchini Syria ametambulika kuwa ni Muhammad Imwazi maarufu kama …
Jenerali mstaafu wa Marekani Wesley Clark, amekiri kwamba Washington na waungaji wake mkono ndio walioanzisha kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh na kwamba lengo kuu ni kukabiliana na harakati …
Baraza Kuu Uongozi la Yemen limewaonya mawaziri wa serikali iliyojiuzulu likisema kuwa, wakikataa kutekeleza majukumu yao watakamatwa na kushtakiwa kwa kosa la uhaini. Baraza hilo limesema kwamba mawaziri hao wakiongozwa …
Jumapili, 22 Februari 2015 19:08

Answarullah: Abd Rabbuh amejiunga na al-Qaidah

Harakati ya Answarullah ya nchini Yemen, imesema kuwa Rais aliyejiuzulu wa nchi hiyo Abd Rabbuh Mansour Hadi amegeuka na kuwa mmoja wa viongozi wa kundi la kigaidi la al-Qaida kusini …
Jumapili, 22 Februari 2015 11:48

Matakfiri wa Daesh wawachoma moto Wairaq 50

Kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh, limewaua kwa kuwachoma moto Wairaq 50 mjini Hīt kaskazini magharibi mwa mji wa al-Ramadi nchini Iraq. Televisheni ya serikali ya al-Iraqiya imethibitisha habari …
Balozi wa Iraq katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, kundi la kigaidi la Daesh limekuwa likifanya biashara ya magendo ya viungo vya watu linaowauwa. Muhammad Ali al-Hakim amesema kuwa, kuna …
Jumamosi, 14 Februari 2015 12:56

Amnesty yaitaka Bahrain kuheshimu haki za raia

Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limewataka viongozi wa Bahrain kuchunga haki za raia za kuwepo uhuru wa kujieleza na kufanya mikutano na maandamano, katika kuwadia maadhimisho ya mwaka …
Jumatano, 04 Februari 2015 15:39

Makumi ya magaidi waangamizwa nchini Syria

Jeshi la Syria limeendelea na operesheni zake dhidi ya makundi ya kigaidi katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo na kuwaangamiza makumi ya magaidi. Ripoti kutoka Syria zinasema kuwa, jeshi la …
Jumatatu, 29 Disemba 2014 13:11

Drone ya Marekani yauwa watu 4 Afghanistan

Watu wasiopungua wanne wameuawa katika shambulizi la ndege ya Marekani isiyo na rubani (drone) katika mkoa wa Nuristan wa mashariki mwa Afghanistan. Maafisa wa serikali za mitaa wa Afghanistan wameripoti …
Vikosi vya kigeni vinavyoongozwa na Marekani vimemaliza rasmi operesheni yao leo Jumapili kwa kuondoa idadi kubwa ya askari wake katika maeneo tofauti ya nchi hiyo iliyoharibiwa vibaya na vita. Vyombo …
Serikali mpya ya Afghanistan imeanza kupata sura baada ya Rais Ashraf Ghani kuwaarifisha mawaziri wanne muhimu.Rais Ghani leo Ijumaa amewaarifisha Muhammad Mastur (Fedha), Mujghan Mustafawi (Masuala ya Wanawake), Muzamil Shinawari …
Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi ameitahadharisha Marekani na nchi nyinginezo na kuzitaka zisiingilie maandamano yanayoendelea katika mji wa Hong Kong, na kusema kuwa maandamano hayo si …
Jumanne, 02 Septemba 2014 20:42

Marekani yatekeleza hujuma za drone Somalia

Marekani imetekeleza hujuma nchini Somalia kwa kutumia ndege zisizo na rubani kusini mwa mji mkuu wa nchi hiyo Mogadishu. Maafisa wa usalama Somalia wanasema Marekani imedai kuwa ilikuwa inamlenga kiongozi …
Abdullah Abdullah na Ashraf Ghani, wagombea urais katika uchaguzi mkuu wa rais uliomalizika hivi karibuni nchini Afghanistan, wamekubaliana kuunda serikali ya umoja wa kitaifa. Jana Abdullah aliwaambia waandishi wa habari …
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetoa azimio la kufanyika uchunguzi wa kimataifa katika eneo ilipotunguliwa ndege ya abiria ya Shirika la Ndege la Malaysia huko mashariki mwa Ukraine. …
Watu waliokuwa na silaha wasiojulikana jana usiku waliifyatulia risasi ndege moja ya Shirika la Ndege la Pakistan (PIA) wakati ilipokuwa ikitua katika mji ulioathiriwa na machafuko wa Pishawar nchini humo. …
Wanamgambo wa Taliban wameshambulia kituo cha jeshi la anga cha NATO huko nchini Afghanistan kilichopo kwenye uwanja wa ndege wa Jalalabad. Maguruneti 8 yalifyatuliwa dhidi ya kituo hicho cha NATO …
Jumapili, 15 Juni 2014 14:40

Wanamgambo 100 wa Taliban wauawa Pakistan

Wanamgambo 100 wa Taliban wameuawa katika mashambulizi ya anga yaliyofanywa usiku wa kuamkia leo na jeshi la Pakistan katika eneo la kikabila la kaskazini mashariki karibu na mpaka wa Afghanistan. …
Kundi la Taliban la Pakistan limetangaza kuwa limehusika kushambulia uwanja wa ndege wa Karachi, shambulio ambalo limeua watu 29 na makumi ya wengine kujeruhiwa. Msemaji wa Tahreek-e-Taliban Pakistan (TTP) amesema …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …