Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Ofisi ya fatwa nchini Misri Darul-Iftaa, imelaani shambulizi la kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh dhidi ya msikiti wa al-Anuud katika mji wa Dammam mashariki mwa Saudi Arabia na …
Makaburi yasiyopungua 30 yanayosadikiwa kuwa na viwiliwili vya wahamiaji kutoka Myanmar na Bangladesh yamegunduliwa katika jimbo la kaskazini mwa Malaysia la Perlis. Kwa mujibu wa gazeti la Star, miili ipatayo …
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, John Kerry, amesema leo kuwa Korea Kaskazini haijawa tayari wala haijakaribia marhala ya kufanya mazungumzo na jamii ya kimataifa kuhusiana na silaha zake …
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ameelezea wasiwasi wake kuhusu hatma ya wakimbizi na wahamiaji, wengi wao Waislamu wa kabila la Rohingya kutoka Myanmar, walioachwa kwenye Bahari ya …
Nepal leo imetikiswa tena na tetemeko kubwa la ardhi lenye nguvu ya 7.4 kwenye kipimo cha Richter, na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 42, na wengine zaidi ya 1,117 kujeruhiwa. …
Takwimu za uhalifu na vitendo vya jinai vinavyofanywa na watu wenye umri wa miaka 65 na kuendelea vimeongezeka mara mbili nchini Korea Kusini. Shirika la habari la Yonhap la Korea …
Idadi ya watu waliopoteza maisha katika tetemeko la ardhi nchini Nepal imeongeza na kufikia 3800, kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi hiyo. Wizara …
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza udharura wa kuimarishwa zaidi ushirikiano kati ya nchi za Asia na Afrika.Rais Rouhani ambaye amewasili Tehran mapema leo akitokea Indonesia …
Mkutano wa viongozi wa nchi za Asia na Afrika ulimalika kazi zake jana nchini Indonesia kwa kupasishwa hati tatu. Rais Joko Widodo wa Indonesia alitangaza kumalizika mkutano huo jana akisisitiza …
Jumatatu, 20 Aprili 2015 20:43

China kuwekeza mabilioni ya dola Pakistan

Rais Xi Jinping wa China leo amewasili Pakistan katika ziara yake ya kwanza nchini humo katika kipindi cha karibu muongo mmoja. Rais wa China anatazamiwa kutangaza uwekezaji wa dola bilioni …
Rais wa Afghanistan, Mohammad Ashraf Ghani, mapema leo Jumapili amewasili hapa mjini Tehran akiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa serikali yake. Lengo la ziara yake ya siku mbili hapa …
Mkuu wa Baraza Kuu la Kiislamu la Iraq ametoa wito wa kuundwa kambi katika Mashariki ya Kati kwa shabaha ya kupambana na ugaidi na misimamo ya kufurutu ada.  Sayyid Ammar …
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq, Ibrahim al-Jaafari na mwenzake wa Syria, Walid al-Muallim, kwa pamoja wametaka kuwepo muungano wa kieneo kwa ajili ya kukabiliana na kundi la kigaidi …
Wapiganaji wa Ansarullah huko Yemen wameudhibiti mji wa Ta'izz wa kusini magharibi mwa nchi hiyo, mji wa kistratejia ambao uko kati ya mji mkuu Sana'aa na Aden. Wapiganaji wa Khouthi …
Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah nchini Lebanon, imelaani mashambulizi ya kigaidi yaliyotekelezwa jana mjini Sana'a, Yemen. Taarifa iliyotolewa na harakati hiyo ya Kiislamu kuhusu hujuma hiyo dhidi ya Waislamu waliokuwa …
Rais Bashar al Assad wa Syria amesema kuwa, raia wa nchi hiyo ndio wenye haki ya kuainisha mustakbali wa nchi yao bila uingiliaji wa kigeni. Rais Bashar al Assad ameyasema …
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amesema kuwa, Washington na nchi nyingine ambazo hakuzitaja jina, hivi sasa zinajadiliana njia za kuanzisha mchakato wa kidiplomasia wa kumaliza mgogoro wa Syria. …
Habari kutoka Cairo, Misri zinasema kuwa, Waziri wa Mambo ya Nje wa Sweden, Margot Wallstroem, amezuiwa kuhutubia kikao cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu …
Afisa wa ngazi ya juu wa Ujerumani ametaka kuangaliwa upya sera za Ujerumani za kuiuzia silaha Saudi Arabia akiitaja nchi hiyo ya kifalme kuwa inaongoza kwa kutuma magaidi katika eneo …
Jumatano, 04 Machi 2015 12:58

Rais Assad: Erdogan anahudumia mabwana zake

Rais Bashar al-Assad wa Syria amekosoa vikali hatua ya Uturuki ya kuyaunga mkono makundi ya kigaidi na kitakfiri na kubainisha kwamba, Rais wa nchi hiyo Raccep Tayyip Erdogan anayaunga mkono …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …