Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Kinara mpya wa kundi la Taliban nchini Afghanistan ametoa taarifa yake ya kwanza akiwataka magaidi wa kundi hilo waungane huku akisisitiza kuendeleza kampeni ya kundi hilo kote Afghanistan. Mullah Akhtar …
Shirika la Umoja wa Mataifa lililokuwa likitoa huduma za kupambana na ugonjwa hatari wa Ebola nchini Guinea Conakry litasitisha huduma zake nchini humo ifikapo tarehe 31 mwezi huu. Shughuli za …
Vikosi mbali mbali vya jeshi la Syria vimefanya operesheni katika maeneo tofauti ya nchi hiyo na kuua makumi ya magaidi. Magaidi wasiopungua 40 wengi wao wakiwa ni wa genge la …
Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa, siasa za Wamagharibi dhidi ya nchi yake na katika eneo la Mashariki ya Kati, zimefeli. Rais Assad ameyasema hayo leo mjini Damascus, alipokutana …
Mkuu wa Idara ya Kupambana na Dawa za Kulevya nchini Russia amelikosoa shirika la majeshi ya nchi za Magharibi NATO kwa kutochukua hatua yoyote ya kupambana na uzalishaji wa dawa …
Jumatano, 08 Julai 2015 14:37

Magaidi 50 waangamizwa kaskazini mwa Syria

Duru za habari nchini Syria zimeripoti kuangamizwa zaidi ya magaidi 50 kaskazini magharibi mwa nchi hiyo. Kanali ya televisheni ya Sky News ikimnukuu kamanda wa jeshi la Syria, imeripoti kuwa …
Bahrain imeimarisha hatua za kiusalama katika misikiti nchini humo baada ya kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh kutishia kuishambulia nchi hiyo. Hatua za kiusalama zimeimarishwa Bahrain baada ya kundi …
Russia imesema ina matumaini kuwa siku chache zijazo Iran na kundi la 5+1 zinaweza kufikia makubaliano ya mwisho kuhusu miradi ya nyuklia ya Tehran. Sergei Ryabkov Naibu Waziri wa Mambo …
Ndege ya jeshi la Indonesia iliyokuwa na watu 113 imeanguka leo karibu na makazi ya raia katika mji wa Medan kisiwani Sumatra na kuua watu wote waliokuwemo.Ndege hiyo imeanguka katika …
Ripoti mpya iliyotolewa jana Jumapili na kundi la haki za binaadamu nchini Syria inasema kuwa, kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh, limewaua zaidi ya watu 3,000 tangu lilipotangaza dola …
Gazeti la Hürriyet la nchini Uturuki limefichua kuwa, Rais Recep Tayyip Erdogan ana mpango wa kutumia kisingizio cha kupambana na makundi ya kigaidi ili kutuma jeshi ndani ya ardhi ya …
Idadi ya wahanga waliopoteza maisha kutokana na joto kali nchini Pakistan imepindukia elfu moja huku hospitali za umma zikiendelea kukabiliwa na mashaka ya kupokea idadi kubwa ya waathirika wa janga …
Idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na joto kali katika mkoa wa Sind huko Pakistan kwenye kipindi cha siku kadhaa zilizopita imefikia watu 850. Wengi wa watu waliopoteza maisha yao …
Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa karibu Waislamu nusu milioni wa jamii ya Rohingya huko Myanmar wanaoendelea kukabiliwa na masaibu wanahitaji misaada ya dharura.Ofisi ya Kuratibu Misaada ya Dharura ya Umoja …
Alkhamisi, 11 Juni 2015 09:44

Wanamapinduzi Libya wawaangamiza Daesh 20

Duru za habari nchini Libya zimearifu kujiri mapigano makali baina ya wanamgambo walioongoza mapinduzi ya mwaka 2011 dhidi ya aliyekuwa rais wa nchi hiyo Kanali Muammar Gaddafi na wanachama wa …
Afisa mmoja mstaafu wa jeshi la Marekani amemlaumu Rais Barack Obama wa nchi hiyo kwa kutokuwa na mikakati ya maana ya kupambana na kundi la kigaidi la Daesh. Mwandishi wa …
Maafisa wa afya nchini Korea kusini wamegundua visa vingine 23 vya ugonjwa uitwao Middle East Respiratory Syndrome (MERS). Kutokana na hali hiyo, idadi ya watu waliambukizwa ugonjwa wa MERS sasa …
Idara ya Haki za Binadamu katika Umoja wa Mataifa imebainisha wasi wasi wake kuhusu kuteswa wafungwa katika magereza nchini Bahrain na kwa mara nyingine kuwataka wakuu wa  nchi hiyo wamuachilie …
Magari manne yaliyokuwa yametegwa mabumi yameripuka kaskazini mwa mji wa Tikrit, Iraq, na taarifa zinasema kuwa makumi ya watu wameuawa na kujeruhiwa. Mtandao wa al Baghdadia News umeripoti habari hiyo …
Utafiti mpya uliofanywa unaonyesha kuwa takribani watu laki moja wameuawa na laki moja wengine wamejeruhiwa nchini Afghanistan tangu mwaka 2001 wakati nchi hiyo ilipovamiwa na majeshi ya kigeni yaliyoongozwa na …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …