Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Rais Barack Obama wa Marekani ameomba radhi kufuatia shambulizi lililofanywa na jeshi la nchi hiyo dhidi ya hopistali moja katika mji wa Kunduz nchini Afghanistan. Msemaji wa ikulu ya Marekani …
Mkuu wa Jumuiya ya Madaktari wasio na Mipaka(MSF) amesema kuwa shambulizi la anga lililofanywa na Marekani dhidi ya hospitali mjini Kunduz Afghanistan ni jinai ya kivita. Taarifa iliyotolewa na Juan …
Marekani imekiri kuwa iliishambulia hospitali katika hujuma yake ya hivi karibuni mjini Kunduz kaskazini mwa Afghanistan. Meja Jenerali John Campbell, mkuu wa majeshi ya Marekani huko Afghanistan amedai mbele ya …
Wanamgambo zaidi ya 100 wa kundi la Taliban wameuawa na vikosi vya jeshi la Afghanistan katika kipindi cha masaa 24 yaliyopita kufuatia operesheni ya jeshi la nchi hiyo yenye lengo …
Jumatatu, 31 Agosti 2015 12:46

Onyo kuhusu hali mbaya ya Waislamu Myanmar

Umoja wa Mataifa umetoa tahadhari kuhusu wimbi jipya la wakimbizi wa Myanmar na Bangladesh wanaoelekea katika eneo la Asia Mashariki na yamkini jambo hilo likaibua maafa ya kibinadamu. Shirika la …
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Pakistan imepiga marufuku shughuli zozote za kundi la kigaidi la Daesh na kuliweka kundi hilo kwenye orodha ya makundi ya kigaidi. Taarifa ya wizara …
Vitendo vya kunyongwa wahalifu nchini Saudi Arabia vimeongeza mno nchini humo licha ya kuweko malalamiko na ukosoaji wa kimataifa.  Wafungwa wengine wanne wamenyongwa nchini humo. Wizara ya Mambo ya Ndani …
Jumatatu, 24 Agosti 2015 15:16

Korea yaitaka Korea Kaskazini kuomba radhi

Korea ya Kusini imetangaza kuwa haitasimamisha matangazo yake ya kipropaganda katika mpaka wake na nchi jirani ya Korea ya Kaskazini hadi pale Pyongyang itakapoomba radhi kutokana na uchokozi wake wa …
Jumuiya ya Nchi za Kusini Mashariki mwa Asia (ASEAN) imelaani vikali kupasishwa sheria mpya katika Bunge la Myanmar dhidi ya Waislamu wa nchi hiyo. Ofisi ya Wawakilishi wa ASEAN kwa …
Jumamosi, 22 Agosti 2015 12:32

Hatari ya kuibuka vita baina ya Korea mbili

Marekani imewaweka wanajeshi wake katika hali ya juu ya tahadhari nchini Korea Kusini huku kukiwa na uwezekano mkubwa wa kuzuka vita baina ya Korea Kusini na Korea Kaskazini. Siku ya …
Ndege ya abiria ya Indonesia imeanguka katika kisiwa cha Papua na kuua abiria 54 waliokuwemo.Maafisa wa serikali ya Indonesia wamewanukuu wanavijiji wakisema kuwa wamepata mabaki ya ndege hiyo aina ya …
Idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na milipuko ya hivi karibuni mjini Tianjin, China wameongezeka na kufika 112, huku watu 90 wakiwa hawajulikani walipo. Naibu mkurugenzi wa idara ya habari …
Jumatatu, 10 Agosti 2015 21:15

Afghanistan yailaumu Islamabad kwa ugaidi

Rais Ashraf Ghani wa Afghanistan ameilaumu Islamabad kwa mashambulizi makubwa ya kigaidi ya hivi karibuni huko Kabul mji mkuu wa nchi hiyo yaliyoua watu wasiopungua 35 na kujeruhi mamia ya …
Waziri Mkuu wa Japan Shinzo Abe amesisitiza umuhimu wa kuweko dunia isiyo na silaha za nyuklia huku akitoa wito kwa nchi zenye kumiliki silaha hizo kuziharibu mara moja. Akizungumza kwenye …
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Saudia amedai kuwa, serikali ya nchi hiyo imeazimia kuchukua hatua kali za kukabiliana na ugaidi. Muhammad bin Naif bin Abdulaziz Al Saud aliyasema hayo …
Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Myanmar amezuiwa kukutana na Waislamu wanaodhulumiwa kwa miaka mingi wa jamii ya Rohingya nchini humo.Yanghee Lee alikuwa ziarani nchini Myanmar kuchunguza hali ya …
Wananchi wa Bahrain kwa mara nyingine tena wameandamana wakitaka kiongozi mwandamizi wa upinzani Sheikh Ali Salman aachiliwe huru mara moja. Maandamano yamefanyika baada ya Sala ya Ijumaa katika jijiji cha …
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio la kutaka ufanyike uchunguzi kuhusu mashambulio ya silaha za kemikali yaliyofanywa nchini Syria. Kufuatia azimio hilo lililopitishwa kwa kauli moja, litaundwa …
Watu wa Japan leo wamekusanyika katika mji wa Hiroshima kukumbuka mwaka wa 70 tokea Marekani idondoshe bomu la maangamizi ya umati ya atomiki katika mji huo. Waziri Mkuu wa Japan, …
Watu wasiopungua 30 wamepoteza maisha na wengine zaidi ya 300 kujeruhiwa kufuatia ajali mbili za Treni katika jimbo la Madhya Pradesh lililoko katikati mwa India. Treni ya kwanza ilianguka kwenye …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …