Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumatano, 02 Oktoba 2013 19:35

Waislamu Myanmar waiomba serikali iwalinde

Taasisi tano za Kiislamu za nchini Myanmar zimeiomba serikali kuwalinda Waislamu nchini humo kufuatia kuzuka tena mauaji dhidi yao katika nchi hiyo ya kusini mashariki mwa Asia. Katika taarifa yao …
David Cameron Waziri Mkuu wa Uingereza amepinga mpango wa kuwapelekea silaha waasi na magaidi wa Syria baada ya makamanda wa jeshi la nchi hiyo kuitahadharisha serikali ya London juu ya …
Serikali ya Afghanistan imeitaka Washington itoe maelezo kuhusu mazungumzo ya amani yanayoendelea huko Qatar kati yake na kundi la Taliban chini ya usimamizi wa Marekani. Janan Mosazai, msemaji wa Wizara …
Serikali ya Korea Kaskazini imesema iko tayari kufanya mazungumzo na Marekani ili kuondoa hali ya taharuki na wasiwasi katika Peninsula ya Korea. Pyongyang imesema iwapo Washington itaonyesha irada ya kufanya …
Ofisi ya Uwakilishi ya Syria katika Umoja wa Mataifa imetangaza kuwa kundi la al Nusra linaloshirikiana na mtandao wa al Qaida limekiri kutekeleza mashambulizi 6000 ya kigaidi nchini humo katika …
Mkuu wa Kamati ya Taifa ya Kupinga Vita nchini Marekani amesema kuwa, lengo kuu la matamshi na vitisho vya vita vinavyotolewa na Washington dhidi ya Pyongyang ni kuipindua serikali ya …
Idadi ya watu waliopoteza maisha yao baada ya kuporomokewa na jengo la ghorofa mjini Bombay India imeongezeka na kufikia watu 30. Polisi ya India imesema kuwa, wengi wa wahanga wa …
Jumapili, 31 Machi 2013 21:09

Maadui wa Uislamu wachochea mauaji Myanmar

Maajenti wa kigeni wenye chuki za Kiislamu wanachochea mauaji dhidi ya Waislamu nchini Myanmar. Hayo yamesemwa na Jim Della Giacoma, mtaalamu wa masuala ya Myanmar kutoka Kundi la Kimataifa la …
Mchambuzi mmoja mwandamizi wa masuala ya kijeshi amesema kuwa, Marekani ndiyo itakayobeba lawama iwapo kutatokea vita kati ya Korea mbili zilizogawanyika. Jeff Steinberg wa jarida la kila wiki la Executive …
Jumamosi, 30 Machi 2013 12:04

IHRC yalamikia mateso ya Waislamu Myanmar

Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Kiislamu  IHRC imewataka wanaharakati wa kutetea haki za binadamu kukomesha vitendo vya  ukandamizaji na utesaji dhidi ya Waislamu wa Myanmar. Kamisheni hiyo imewataka wanaharakati …
Waziri wa Ulinzi wa Marekani Chuck Hagel ametangaza kuwa, nchi yake imejiweka tayari kwa ajili ya kukabiliana kijeshi na Korea Kaskazini. Hagel aliyasema hayo mbele ya wandishi wa habari na …
Kwa akali watu 12 wameripotiwa kuuawa nchini Afghanistan kufuatia shambulio la wanamgambo wa Taliban mashariki mwa nchi hiyo. Duru za usalama zinaripoti kwamba, wanamgambo wa Taliban wamefanya shambulio katika kituo …
Nigeria itakabiliwa na upungufu mkubwa wa chakula katika miezi michache ijayo. Tahadhari hiyo imetolewa na mashirika ya kijamii ya utoaji misaada nchini Nigeria ambayo yameeleza kuwa, karibu mikoa 20 ambayo …
Syria imepiga marufuku ndege za abiria za Uturuki kupaa katika anga yake, huku uhusiano wa nchi hizo mbili ukizidi kuharibika. Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imesema, …
Jumapili, 19 Agosti 2012 10:33

Iran kutuma misaada kwa Waislamu wa Myanmar

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa Tehran iko tayari kwa ajili ya kutuma misaada ya kibinadamu kwa Waislamu wanaokandamizwa nchini Myanmar. Ramin Mehmanparast amesema shehena …
Jumamosi, 18 Agosti 2012 15:26

Myanmar kuchunguza mauaji ya Waislamu

Serikali ya Myanmar imeunda kamisheni iliyopewa kazi ya kuanzisha uchunguzi kuhusu machafuko yaliyotokea hivi karibuni dhidi ya Waislamu huko magharibi mwa nchi hiyo. Uamuzi huo ulichukuliwa hapo jana baada ya …
Alkhamisi, 16 Agosti 2012 10:13

Waislamu waendelea kuuawa Myanmar

Vyombo vya kidiplomasia nchini Myanmar vimeripoti kuwa machafuko mapya yamezuka nchini humo kati ya Wabudha wanaotawala nchi hiyo na Waislamu waliowachache ambao wamekuwa wakiuawa kikatili kwa muda sasa. Duru za …
Leon Panetta Waziri wa Ulinzi wa Marekani amesema kuwa ana wasiwasi mkubwa kutokana na kuongezeka idadi ya wanajeshi wa kigeni wanaouawa huko Afghanistan na watu wanaovalia sare za jeshi na …
Jumapili, 12 Agosti 2012 10:07

Waislamu wa Myanmar wazidi kuteseka

Ripoti mbalimbali kutoka Myanmar zinasema kuwa maafa makubwa yanatokea katika kambi ya wakimbizi wa Kiislamu katika jimbo la Rakhine. Kanali ya televisheni ya Press imeripoti kuwa watu karibu 20 wakiwemo …
Baraza la Wanazuoni wa Rohingya nchini Malaysia limeripoti kuwa kumeanza wimbi jipya la mauaji na vitendo vya kikatili dhidi ya Waislamu wa Myanmar.

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …