Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Familia kadhaa za abiria waliokuwemo kwenye ndege ya Malaysia iliyotoweka ya MH370 wameanza kampeni ya kuchanga dola milioni 5 ili kumzawadia mtu yeyote atakayetegua kitendawili cha kutoweka ndege hiyo miezi …
Mgombea wa uraisi nchini Afghanistan Abdullah Abdullah, amenusurika kifo katika shambulizi lililoulenga msafara wake, wakati akitoka katika moja ya hoteli mjini Kabul, mji mkuu wa nchi hiyo. Baada ya jaribio …
Shirika la Msamaha Duniani Amnesty International limewakosoa maafisa wa India kutokana na ubaguzi na unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya wanawake na wasichana unaoshuhudiwa nchini humo.  Shirika hilo limeitaka serikali ya …
Habari kutoka eneo la Uttar Pradesh, kaskazini mwa India zinasema kuwa, zaidi ya watu 40 wamepoteza maisha na wengine wengi kujeruhiwa kufuatia ajali mbaya ya treni iliyoyahusisha magari mawili ya …
Rais Hamid Karzai wa Afghanistan amekataa ombi la Rais Barack Obama wa Marekani la kukutana naye katika uwanja wa Jeshi la Anga la Marekani mjini Bagram nje kidogo ya Kabul, …
Mkuu wa jeshi la Thailand, Jenerali Prayut Chan-Ocha, ametangaza leo kuwa kamisheni maalum ya jeshi hilo imechukua rasmi uongozi wa nchi. Jenerali Chan-Ocha pia ametangaza sheria ya kutotoka nje kuanzia …
Korea Kaskazini imetishia kutumia kombora la nyuklia dhidi ya Korea Kusini ikiwa ni kujibu chokochoko za mara kwa mara zinazofanywa na serikali ya Seoul dhidi ya Pyongyang. Serikali ya Korea …
Korea Kaskazini imeendelea na majaribio ya makombora yake ya masafa mafupi ambapo alfajiri ya leo imevurumisha makombora 16 kuelekea baharini. Hapo jana Pyongyang ilifyatua makombora 30 kuelekea baharini katika kalibu …
Rais Hamid Karzai wa Afghanistan amezitaka Marekani na waitifaki wake wa Magharibi kuondoa wanajeshi wao huko Afghanistan haraka iwezekanavyo katika muda ulioaainishwa yaani mwaka huu wa 2014. Rais Karzai wa …
Kituo kimoja cha Waislamu nchini Uingereza kimetoa wito kwa Waislamu duniani kuchukua hatua za kivitendo kuzuia mauaji ya umati ya Waislamu wa kabila la Rohingya nchini Myanmar. Jahangir Mohammad, Mkurugenzi …
Jumamosi, 15 Februari 2014 08:53

HRW yatangaza kupotea Waislamu 1,300 Myanmar

Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limetaka ufanyike uchunguzi wa kina kuhusiana na hatima ya Waislamu 1,300 wa Rohingya ambapo serikali ya Thailand inadai kwamba Waislamu …
Serikali ya Pakistan leo Alhamisi imeanza mazungumzo na wanamgambo wa Taliban wa nchi hiyo lengo likiwa ni kufikiwa mapatano ya kudumu yatakayomaliza vita vya muda mrefu kati ya pande mbili …
Jumamosi, 01 Februari 2014 18:59

Bangkok, uwanja wa maandamano dhidi ya serikali

Mji mkuu wa Thailand Bangkok umeendelea kuwa uwanja wa maandamano na upinzani dhidi ya serikali huku uchaguzi wa Bunge ukitarajiwa kufanyika hapo kesho. Waandamanaji leo wamekusanyika mjini Bangkok wakilalamikia kuvurugwa …
Waziri wa Mambo ya Nje wa Myanmar, Wunna Maung Lwin amesema kuwa serikali ya nchi hiyo inapanga kuunda tume maalum itakayochunguza kiini cha mauaji ya halaiki dhidi ya Waislamu wa …
Jumanne, 28 Januari 2014 09:06

NATO katika njia panda kuhusu Afghanistan

Katibu Mkuu wa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) amesema kuwa, muungano huo unapaswa kuchukua msimamo wa kubaki au kuondoka nchini Afghanistan katika kipindi cha miezi michache ijayo, …
Gazeti la The Hill linalochapishwa nchini Marekani limeandika habari za kuanza vita vya kiuchumi baina ya nchi hiyo na China. Gazeti hilo limeandika kuwa, Washington inapanga mikakati ya kutiliana saini …
Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, watoto milioni moja na nusu wanakabiliwa na tishio la lishe duni baada ya kutokea kimbunga cha Haiyan hivi karibuni nchini humo. Taarifa ya Umoja wa …
Umoja wa Mataifa jana uliripoti kuwa, kuna hofu kubwa kwamba zaidi ya watu elfu kumi wamepoteza maisha kwenye mji wa Tacloban pekee, kutokana na maafa makubwa yaliyosababishwa na kimbunga kilichoikumba …
Katika hali inayoonekana kuwa ni kuzidi kupata nguvu miradi ya nyuklia ya Iran, serikali ya Japan imesema kuwa ina hamu ya kuwekeza katika ujenzi wa viwanda vya nyuklia nchini Iran. …
Ijumaa, 25 Oktoba 2013 10:17

UN yalaani kupigwa vita Waislamu Myanmar

Mjumbe wa Umoja wa Mataifa anayefuatilia masuala ya haki za binadamu nchini Myanmar amesema kuwa fujo na ghasia dhidi ya Waislamu zinatishia mabadiliko ya kisiasa na kiuchumi nchini humo. Tomas …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …