Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumatano, 28 Oktoba 2015 09:15

Waliokufa katika zilzala Asia ya Kati wafikia 339

Waliokufa katika zilzala Asia ya Kati wafikia 339

Idadi ya watu waliofariki dunia baada ya mtetemeko mkubwa wa ardhi uliokuwa na ukubwa wa 7.7 kwa kipimo cha rishta kuyakumba maeneo kadhaa ya  Pakistan na Afghanistan hapo juzi imeongezeka na kufikia 339.  Maafisa wa Afghanistan na Pakistan walisema jana kuwa, watu 258 wamefariki dunia huko Pakistan, 78 nchini Afghanistan na wengine watatu waliaga dunia katika eneo la lenye la Kashmir katika upande wa India. Idadi ya waliofariki dunia katika mtetememeko huo wa ardhi inatazamiwa kuongezeka. Kitovu cha mtetemeko huo wa ardhi kilikuwa umbali wakilomita 73 kusini mwa Fayzabad makao makuu ya jimbo la Badakhshan karibu na mpaka na Pakistan, Tajikistan na China. 

Shah Waliullah Adeeb Gavana wa jimbo la Badakhshan amesema kuwa zilzala hiyo imebomoa kabisa au kuharibu kwa upande mmoja nyumba zipatazo 1500 jimboni humo.  

 

Andika maoni


Msimbo salama (Security code)
Upyesha (Refresh)

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …